ELimu na maisha halisi waionaje

Raykidd

Member
Sep 28, 2016
31
19
kiukweli kwa mtu yoyote msomi au mtu yoyote ambae yupo mtaani yawezekana akawa anajua hili?? kwangu mimi naona Elimu yetu TZ haimuandai kijana kuja kutegemea taaluma yake kumkuzia kipato bila kuajiliwa na asasi yoyote so life is about how u use ur mind just cheki mtu ana PHd ya business may be but akishamaliza asipopata ajira kama hatatumia mind effectively real hawezi kuimprove so mi naona maisha inadepend on how u OPen ur MIND kuona fUrsa... We waonaje????
 

Attachments

  • 1304088766939565.gif
    1304088766939565.gif
    3.4 KB · Views: 35
Back
Top Bottom