Recent content by Raphsam

  1. R

    JamiiForums Tanzania Magufuli yupo Arusha kikazi

    Kaja na ziara zake za kujitambulusha.......... Alipoona upepo haulipi kaanza kuingia maofisini. Sasa hvi ana kazi gani wakati ofisi ilishakaimiwa?
  2. R

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Naitwa ENDESH, Natafuta mtu wa kubadilishana nae kitu. Nipo wilaya ya MKINGA. Nataka kuhamia wilaya yeyote ya Arusha Namba 0654118611
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kanizidi umri

    tafuata umri wa mwenzi wako kwa formula hii: y = x/2+7 Note: y - mwanaume x - mwanamke kama wewe ni mwanamke make x the subject. Hata Adam alikuwa mkubwa kuliko Hawa. Najua utabisha lakini according to Biblia siku moja kwa Mungu ni sawa na miaka 1000.....
  4. R

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa TV mjifunze jinsi ya kuvaa

    Kuvaa kunaanzia kwako mwenyewe,
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Hayo ni ya kweli, sasa hivi una shahada ya chuoni na sasa ni unaanza kutafuta shahada ya duniani. Zile idea za kilipwa laki saba, milioni unaanza ku-prove kwamba ni kweli au lah! Kama unaweza, pamoja na kutafuta ajira, anza kuandaa maandiko ya biashara (business plan) upeleke sehemu mbali mbali...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mlipuko Arusha linganisha matukio haya, je yanawiana?

    Mimi nadhani kama tukiendelea kulaumu kuhusu haya haisaidii. Kwanza jiulize wewe unayelaumu una suluhisho lolote? Tatizo hili lina mizizi yake. Jiulize kuna sehemu ambayo watanzania wanafundishwa UZALENDO ili kujua kwamba Tanzania kwanza halafu baadae DINI, SIASA na VYAMA? Hivyo watu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wakufunzi mashetani Elimu ya juu Tanzania

    Kiukweli tunahitaji kuwa na sehemu maalum ya kutoa maelekezo kwa wote wanaokuwa wahadhiri wa vyou vyaelimu ya juu nchini. Kituo hiki kitakuwa kinatoa mafunzo ya muda mfupi(miezi miwili/mitatu) ya namna ya: Kufundisha mbele ya wanafunzi( How to deliver material). Wengi wetu tumeshuhudia eti tu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Karibuni - Application HESLB (Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu)

    Post graduate ya education vp? wanatoa mkopo?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chuo cha kufundisha masomo ya IT/Computer

    Natafuta chuo cha kufundisha Masomo ya IT in Part-Time basis. Asubuhi mpaka saa saba na nusu mchana Nipo vizuri Networking, Computer Basics, E-Commerce, Computer Maintainance, Computer Applications n.k E-mail: mraphsam@yahoo.com Call: 0713-953337
  10. R

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    hv Lukuvi analipwa bei gani cz tangu asubuhi ameanza kutetea upuuzi
  11. R

    JamiiForums Tanzania Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!

    Habari za uzushi bana.! hakikisha unapata habari sahihi kabla hujasema. Mtambo wa kurushia matangazo wa TBC Dodoma una hitilafu kwa hyo wakimaliza kufanya marekebisho watarusha matangazo kutoka bunguni
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tangaza upate chako

    Easy -Easier -Easiest Advertising Centre Just click…. Arusha Online: ARUSHA ONLINE The BlogSpot that brings customers close to you Our rates have deliberately been kept low to give businesses access to this important means of advertising. Advertising Rates 1. Horizontal...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wavuta sigara na wanywa pombe saivi matumbo joto

    Sion haja ya serikali kuhangaika na vitu vidogovidogo kiasi hicho na kuwanyima wananchi starehe zao. Serikali 'corrupt' ndo inafanya hivyo Tuna vyanzo vingi vya mapatao, kwanza tukiamua kuzalisha umeme tu vya kutosha tutauuza mpaka tusahau nyanja zingine. Achilia mbali MADINI ambayo mirahaba...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nitafutieni kazi jamani watanzania wenzangu

    Kama unaweza kufanya kazi ya kamisheni nipigie 0713 953337. Kazi yenyewe ni kutafuta wateja wa accounting system inaitwa 'easy finance manager'. Ni nzuri sana kwa tz, tunaweza kum castamaizia mteja anavyotaka. Ukiuza kwa milioni mbili unapata 20%
  15. R

    JamiiForums Tanzania Accounting package "Easy Finance"

    Ndugu zangu asalaam aleykum, Tupo vijana kadhaa wajasiria mali tuna accounting package yenye jina tajwa hapo juu. Tunaiuza kwa bei nafuu sana na ni nzuri kwa mazingira ya tanzania. Kama unahitaji au unajua kampuni, azaki, asasi au mtu binafsi anayehitaji au kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa...
Back
Top Bottom