ITAWANUFAISHA NYINYIEMU A.K.A MAGAMBA, make hapo wakina wasila watakuwa wanaingia na mashuka pamoja na zile net za OBAMA ndani ya ukimbi wa Bunge na kuchapa Usingizi bila wasiwasi
Siasa zinachekesha sana!!!
Habari za uzushi bana.! hakikisha unapata habari sahihi kabla hujasema. Mtambo wa kurushia matangazo wa TBC Dodoma una hitilafu kwa hyo wakimaliza kufanya marekebisho watarusha matangazo kutoka bunguni
na kwanini mtambo uwe na hitilafu mpaka bunge linaanza haujarekebishwa?Habari za uzushi bana.! hakikisha unapata habari sahihi kabla hujasema. Mtambo wa kurushia matangazo wa TBC Dodoma una hitilafu kwa hyo wakimaliza kufanya marekebisho watarusha matangazo kutoka bungeni
Kama kawaida yao hawapendi kuona tukishuhudia utumbo wao.........:bowl::target:Spika wa Bunge amesema kuwa baadhi ya wabunge wanaandaa hoja ya kuzuia vipindi vya Bunge kuonyeshwa LIVE kwa wananchi!
Ninavyochukulia: Huku ni kulewa Madaraka!...Wanataka wachape usingizi bila kuhojiwa na wapiga kura hawa!
CHANZO: Gazeti la Mtanzania leo 13/08/2012
hii hoja yako inatekelezeka kwa wenye akili na maadili mkuu!Asiyetaka kuonekana live na ajitoe ubunge simple. Unajua hoja yao hii ni kujijengea mazingira ya kukwepa kipindi cha mchakato majimboni when it comes to 2015? Wengi wao hawana hoja ila vijisenti walivyopata kwa njia zisizo halali. kwahiyo chochote kikija live hawataki. Wataumbuka
Imeharibika siku ya kuanza Bunge?Transmission Van imeharibika sa watafanyaje,kuweni wapole mambo yatakuwa poa.
Spika wa Bunge amesema kuwa baadhi ya wabunge wanaandaa hoja ya kuzuia vipindi vya Bunge kuonyeshwa LIVE kwa wananchi!
Ninavyochukulia: Huku ni kulewa Madaraka!...Wanataka wachape usingizi bila kuhojiwa na wapiga kura hawa!
CHANZO: Gazeti la Mtanzania leo 13/08/2012