Wavuta sigara na wanywa pombe saivi matumbo joto

mkuu acha utani bana kwnye issue serious, lakini sishangai maana kuna pombe inatengenezwa kwa miwa pande za lushoto maarufu kama BOHA, ni nzuri kushinda bia, na chupa moja 200/= tu.

hizo sasa ziuzwe 1000/=,kodi iwe 800/= na watengenezaji waendelee kupata 200/= yao
kama kawaida,...

Sijui kwanini hawa watu hawataki niwashauri aggrr
 
Wakipandisha tu tunagoma kunywa bia kama walivyofanya wanywa chibuku miaka ile mpaka bei ika shuka.

Dah,kumbe umeanzia mbali eh?
bora wewe una option ya chibuku,mwenzako nikisikia harufu yake tu
tumbo linajaa gesi
 
Usufanye hivo bana,kama sigara tu zime kufanya ujitoboe uso mzima
bange si uta jichija? We isikie tu bange,si mchezo

Sasa unadhani buku 3 nitaweza kweli? ikifikia hapo nitakuwa nimevutishwa bange na state.
 
Pole boss,ni wakati wa ku-eliminate the irrelevant and amplifying the relevant
Mbona hii italeta mvulugano sana what are irrelevant na relevant ones, to me a kidumu of MILK is irrelevant to a glass of beer. Chonde chonde serikali isipandishe bei ya hizi bidhaa sidhani kama watu woote wanaojaa vilabuni wakinywa bia ni wajinga.
 
Hahaaaa, mkuu nahisi unatamani kumbembea masikio yake.....

Speaker i wish to join you a hand, hawa jamaa wanachangia budget kwa kiasi kikubwa sasa huo mkakati wako si unaweza kuleta distortion ya marikiti na mapato kupungua kwa kiasi kikubwa? maana watahamia kwenye zile ambazo hazitozwi kodi....hahahaaa

Uko sawa mkuu,tutaanza kupata banana za 700,lengo ni stimu tu hakuna kingine.
 
Huwa najiuliza, hivi serikali haina vyanzo vingine vya muhumu kwa mapato zaidi ya pombe na sigara? Binafsi sinywi pombe wala sivuti sigara na siwatetei hao wanywaji na wavitaji ila kuna umuhimu wa serikali kuja na vyanzo safi vya mapato badala ya kila mwaka kuwa wanapandisha tuu!
 
mkuu acha utani bana kwnye issue serious, lakini sishangai maana kuna pombe inatengenezwa kwa miwa pande za lushoto maarufu kama BOHA, ni nzuri kushinda bia, na chupa moja 200/= tu.

Mkuu contact zao unazo??tunataka watusambazie mpaka huku mikoani.
 
Hahaaaa, mkuu nahisi unatamani kumbembea masikio yake.....

Speaker i wish to join you a hand, hawa jamaa wanachangia budget kwa kiasi kikubwa sasa huo mkakati wako si unaweza kuleta distortion ya marikiti na mapato kupungua kwa kiasi kikubwa? maana watahamia kwenye zile ambazo hazitozwi kodi....hahahaaa

NewDawnTz umenena itafikia wakati sisi wanywaji wa kipato cha chini tutahamia vilabu vya pombe za kienyeji na tukiwa na sababu za kisayansi kabisa, mara oooh kwasasa sitaki pombe za viwandani zina makemiko, mara oooh pombe za kienyeji ni oganiki.
 
Uko sawa mkuu,tutaanza kupata banana za 700,lengo ni stimu tu hakuna kingine.

Mkuu kuna rafiki yangu mmoja hapa leo habanduki kwenye media anataka kusikia kuhusu bia....tayari kapanga zikipanda anabadilisha "kijiwe".....kwl kazi ipo na hizi stress za siasa za bongo na uchumi wenye matege, balaa tupu
 
Ata ikapanda kunywa tutakunywa sigara wapandishe apo 20 na bia wapandishe 100 au mnasemaje ndugu zanguni...??
 
Bajeti hii tena sijui wataongeza bei?
mh,natamani bia moja iwe 5000/= na sigara iwe 3000/= :majani7:

Tungoje

Wewe Mh. Speaker, hiyo avatar & location are too cynical to bear. samahani nina Jewish heritage & i must protest..
 
Sasa hapo umekwenda mbali Ngondya tafadhali.

Sawa ndugu nimekupata, lakini nilikuwa najaribu kutumia logic ya mwenye thread kwamba ukitaka watu waache kitu,unapandisha bei, sasa nimefikiria uzinzi na uasherati ni mbaya, sasa tukipandisha bei ya kondomu, labda wataacha uzinzi...
 
Sion haja ya serikali kuhangaika na vitu vidogovidogo kiasi hicho na kuwanyima wananchi starehe zao. Serikali 'corrupt' ndo inafanya hivyo
Tuna vyanzo vingi vya mapatao, kwanza tukiamua kuzalisha umeme tu vya kutosha tutauuza mpaka tusahau nyanja zingine.
Achilia mbali MADINI ambayo mirahaba sijui anagawiwa nani, tukichukua haki yetu hizo tu zainatosha kutumia pasipo kuhitaji misaaada kutoka magharibi,
Hapo sio mwisho kuna sekta ya utalii ambayo ina fedha lukuki.
Huko kuna viwanda havilipi kodi inavyotakiwa, kuna wa***di hawalipi kodi kabisaaaaa
Kuna wageni wanafanya kazi nchini na hawalipi kodi tumewaacha tu maofisa wa uhamiaji wanachukua chao wanapiga kimya

Duh! mmmh! jamani naishia hapa 'GAVAMENT' naombeni kazi.......
0713953337
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom