Magufuli yupo Arusha kikazi

Magufuli yupo Arusha kikazi

Mgufuli namkubali ni jembe! Lakini kosa lake ni kuwa CCM chama bovu! Ni viongozi wangapi walioibukia kuwa viongozi(rais) wa nchi hii wakiwa na kila sifa ya kuwa viongozi bora ndani ya CCM lakini waliishia kuvurunda kwa sababu ya mfumo wa mbovu wa CCM????????!!! Hakuna shida wapenzi wa magufuli! Magufuli wetu tutampa uwaziri ndani ya serikali ya UKAWA ili aendelee kuwatumikia watanzania.
 
Mgufuli namkubali ni jembe! Lakini kosa lake ni kuwa CCM chama bovu! Ni viongozi wangapi walioibukia kuwa viongozi(rais) wa nchi hii wakiwa na kila sifa ya kuwa viongozi bora ndani ya CCM lakini waliishia kuvurunda kwa sababu ya mfumo mbovu wa CCM????????!!! Hakuna shida wapenzi wa magufuli! Magufuli wetu tutampa uwaziri ndani ya serikali ya UKAWA ili aendelee kuwatumikia watanzania.
 
Mgufuli namkubali ni jembe! Lakini kosa lake ni kuwa CCM chama bovu! Ni viongozi wangapi walioibukia kuwa viongozi(rais) wa nchi hii wakiwa na kila sifa ya kuwa viongozi bora ndani ya CCM lakini waliishia kuvurunda kwa sababu ya mfumo mbovu wa CCM????????!!! Hakuna shida wapenzi wa magufuli! Magufuli wenu tutampa uwaziri ndani ya serikali ya UKAWA ili aendelee kuwatumikia watanzania, akiwa chini ya serikali bora kuwahi kutokea TZ.
 
Yupo kikazi zaidi.hana longolongo.action talks Lauder than words
 
Arusha Rais ni LOWASA.TANZANIA RAIS NI MAGUFULI.TIME WILL TELL.
 
Hao watu wanaomshangilia wao wana umeme? maana umeme kila siku ni mgao usiotangazwa na wananchi hatujui nini kinaendelea. Au hao wanaomshangilia ni wale ambao shughuli zao zimesimama kwa kukosa umeme hivyo hawana la kufanya zaidi ya kumshangila Magufuli?

mtaongea sana Mafisadi wa Ukawa
 
Najua inauma sana pale unapoamini kwamba una ngome alafu watu wanatia team na kiulaini. Tena kw taarifa yako mwenyekiti wa CCM mkoa na Mh. Olesendeka wote watamtembelea muda si mrefu. Na kwa ujumla wembe ni uleule"kata kata" jipangeni sana nchi hapewi genge la wahuni na wala rushwa hawana nafasi Ikulu.

jipe moyoooo
 
we ungetudanganya tu bila kuweka picha, mbona watu wachache mno hata kutangaza kuwa ni mapokezi ya wazir haitoshei bado.
 
Niko mkoani Arusha hapa! Jembe Dr. Magufuli yupo hapa kikazi wizara ya ujenzi. Lakini wanainchi wa arusha wanahamu ya kumsalimia na kila anapopita watu wanashangilia rais rais.

Ki ukweli jamaa bonge la jembe anakubalika kila kona. Check picha kidogo hapa chini. Nitawaletea kila nitakacho nasa hapa mambo "alisema"
usipende kuamini kila kitu, mimi ninaishi Arusha jana Mgufuli alikuwa Arusha Hotel, hakuna hata inzi anayemfuata sana sana yuko na mlolongo wa magari ya umma tu na wapambe kibao wa serikalini wananchi wako busy na maisha yao ya kila siku!
 
Magufuli tulikupenda, lakini Lowassa tumempenda Zaidi.

................. Atakapotoka arusha mwambieni apitie dsm/morogoro road
aone maajabu ya barabara kutitia upande upande............

Barabara ambayo imetugharimu mabilioni ya ela ambayo ni mikopo inayotakiwa kulipwa na watanzania!!!! Tayari ishatitia!!!!! Jana nimepita nikasikitika sana kuona eti barabara ambayo hata ujenzi wake haujaisha eti ishatitia. Alafu eti jembe, hamna kitu. Kivuko cha bagamoyo tumekamuliwa sisi wananchi alafu eti kwa wiki kinaenda mara moja tena kwa mwendo wa kinyonga kiasi kwamba anayekwenda zanzibar anafika na urudi kabla ya MV Dar es Salaam kufika bagamoyo.
 
Niko mkoani Arusha hapa! Jembe Dr. Magufuli yupo hapa kikazi wizara ya ujenzi. Lakini wanainchi wa arusha wanahamu ya kumsalimia na kila anapopita watu wanashangilia rais rais.

Ki ukweli jamaa bonge la jembe anakubalika kila kona. Check picha kidogo hapa chini. Nitawaletea kila nitakacho nasa hapa mambo "alisema"
nimetazama sana hiyo picha sijui imepigwa wapi hapa Arusha, itakuwa imported! View attachment 272403
 
Leo Dr.Magufuli kapokelewa Arusha ambapo atakagua Ujenzi wa barabara na kumkaribisha Makamu wa Rais kwenye Ujenzi wa barabara ya Kia kwenda Mererani.

naona kaamua kurudia kazi yake ya awali, maana yeye ilikuwa kujitambulisha kwa wapiga kura
 
Kaja na ziara zake za kujitambulusha.......... Alipoona upepo haulipi kaanza kuingia maofisini. Sasa hvi ana kazi gani wakati ofisi ilishakaimiwa?
 
Back
Top Bottom