Nitafutieni kazi jamani watanzania wenzangu

nakusaidia hivi dada yangu.

njoo, au andika barua kwa kampuni ya Greenresources limited ambayo ni kamuni mama ya saohill industries iko iringa mafinga. anuani ni 55 mafinga, au tuma email kwa mkurugenzi wa kampuni anaitwa sangito sumari ,email yake ni sangito.sumari@greenresources.no
njia nzuri ni kutuma email huyu MD atakusililza ni mtu mwelewa sana, wahi mapema.
mimi ni mwajiliwa kampuni hii kama IT Manager.email yangu ni maleges@yahoo.com
namab yangu ya simu ni 0756876634.website ya kampuni ni www.greenresources.no

fanya hivyo dada yangu
Kaka edson asante sana kwa moyo wa kutaka kumsaidia mwanajamii mwenzetu,Mwenyezi Mungu atakubariki kwa hili,But hizi habari za Oslo nazo zinanishtua kidogo!!!
 
Last edited:
Mkuu ulirudi lini toka Oslo Norway??
isije ikawa changa la macho binti wa watu.


nipo nimerudi nina wiki tu, nimekuja kufunga kiwanda kipya cha mbao kinaitwa hew saw(ambacho ni computerised), na kule nilipelkwa kuchimba zaida kitabu juu ya Mambo haya ya IT

upo mkuu
 
nipo nimerudi nina wiki tu, nimekuja kufunga kiwanda kipya cha mbao kinaitwa hew saw(ambacho ni computerised), na kule nilipelkwa kuchimba zaida kitabu juu ya Mambo haya ya IT

upo mkuu

nipo mkuu nimekupata sana!!, sasa na mie natafuta kibarua nina kabachela kangu ka IT nataabika mtaani mkuu, tunaweza kusaidiana hapo ati.
cheErz.
 
nipo mkuu nimekupata sana!!, sasa na mie natafuta kibarua nina kabachela kangu ka IT nataabika mtaani mkuu, tunaweza kusaidiana hapo ati.
cheErz.
shemeji komaa na huyu huyu.ninyi ote ni wababe wa aitii,lazima msaidiane bwana
 
0755259207

Hey Mage, not sure if this is your real phone no. But disclosing your private contact to a public could be a silly idea, considering the fact that you are a woman in such tough times I get feelings that disrespectiful members could take advantage of your situation and possibly spam your phone with unsolicited messages.

Hope you took some precautions. Next time I suggest you PM whenever necessary.

All the best
 
Kama unaweza kufanya kazi ya kamisheni nipigie 0713 953337.
Kazi yenyewe ni kutafuta wateja wa accounting system inaitwa 'easy finance manager'. Ni nzuri sana kwa tz, tunaweza kum castamaizia mteja anavyotaka.
Ukiuza kwa milioni mbili unapata 20%
 
Hi Consolata
Kama kaka yangu Edson alivyo amua kukusaidia hakika mungu ni mwema sana kaka edson mungu akubariki unajua hii web inatusaidia sana ila watu wengine wameweka mizaa mbele dada yangu nakushauri fanya haraka uombe hy post. pia kaka edson kwakuwa huyo dada unajua matatizo yake nakuomba usikome kumsaidia atumapo hy mail please hebu msaidie kumkingia kifua jamani maana walau wewe ni mwenyeji na wapajua hapo. Conso please mtumie huyo kaka Edson CV yako pia mpigie kuwa umesha tuma huo ndio mwanzo wako na mungu amekusikia usikose kumuombea na mungu awabariki
 
Back
Top Bottom