Accounting package "Easy Finance" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Accounting package "Easy Finance"

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Raphsam, Sep 5, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. R

  Raphsam Member

  #1
  Sep 5, 2009
  Joined: Sep 11, 2008
  Messages: 31
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ndugu zangu asalaam aleykum,
  Tupo vijana kadhaa wajasiria mali tuna accounting package yenye jina tajwa hapo juu.
  Tunaiuza kwa bei nafuu sana na ni nzuri kwa mazingira ya tanzania.
  Kama unahitaji au unajua kampuni, azaki, asasi au mtu binafsi anayehitaji au kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa mawasiliano hapo chini.
  Vile vile tunatoa ajira kupitia pakage hii. Ukiuza kwa millioni mbili unapata kamisheni ya asilimia ishirini (20%)


  Sadock Raphael
  0713 953337
  0756 975704
  mraphsam@yahoo.com
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  huku sijui imekosea njia, kaka hii mi naona ingekaa kwenye matangazo madogomadogo. kuna madalali wazuri sana kule! tena uongee bei ueleweke unauza bei ngapi.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...