Recent content by Ramaan

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungemshauri nini huyu dada?

    Wanawake bana, sijui Dudu huwa inawapa mvurugiko wa akili? unaona kabisa the Nigga is using you, ila sababu anakupa Dudu , basi hujielewi na wala huoni. Amka dada wacha kuendekeza Dudu utakufa maskini.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi hata housegirl nchi za nje

    Nicheki Inbox.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nyegere wanamaliza kuku bandani, je nitawadhibitije?

    Mwamba nyegere hata Simba anamkimbia.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kilimo Cha maharage Wilayani Kwimba

    Wilaya ya Kwimba, ndani ya Mkoa wa Mwanza. Hii Wilaya ipo nyuma sana aisee. Wewe lima tu mzee , wasukuma wanalima Mahindi na Maharage hapo kwimba miaka nenda rudi.
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi ndio mwenye nyota ya kusalitiwa, vipi wenzangu haya mnayapata pia?

    Dah, huu mtihani sana.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali - kuna ngoma za zamani ni kama vile vocal imerekodiwa kwa simu ikadondosjwa juu ya beat

    Q, alikuwa hana noma kabisa. Sema ili mwende sawa nenda na chupa ya konyagi tu. :D
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali - kuna ngoma za zamani ni kama vile vocal imerekodiwa kwa simu ikadondosjwa juu ya beat

    hicho kipindi, Mwanza kulikuwa na radio station kama 4 hivi, lakini wajinga walikuwa hawapigi nyimbo za wasanii wa Mwanza kabisa, unless utoe hela. Na hata ukitoa, watapiga siku mbili au tatu. Kidbway mmoja wao. achilia mbali producers kuwa miungu watu, Radio presenters ndio usiseme.
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

    Hata hili umeshindwa kungamua kweli. ? Wewe sio chagua lake la kuoa. Bali mnasogeza maisha for the time being.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, viapo vya Wateule wa Rais ambao ni Waislamu ni sahihi?

    SWEAR & AFFIRM.....haina tatizo vyote ni viapo kwa muktadha wa Islam na wakristo. ..
  10. R

    JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: Hayati Magufuli aliwapigania wanyonge gani?

    Pamoja na umati mkubwa wa watanzania waliojitokeza kumuaga, bado unauliza swali hili?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Duniani Kuna Imani zaidi ya Moja?

    Mifano yako imejikita katika Trust, na sio Faith...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa SGR Mwanza-Isaka kuanza wakati wowote

    Dah nimecheka sana.
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania It's Important To Marry A Strong Man With Strong Equipment See The Reason Why

    Have totally failed to comprehend this submission.
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewaa, hatimaye nimelipa kisasi... Full shangwe

    Yaani mke wa mtu halafu umemkuta kama alivyo zaliwa
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mandela alijipatia uhuru binafsi na sio Waafrika Kusini

    Haya mambo ni mepesi tu kwa kuyasema ukiwa kwako chumbani au kitandani au sebleni. Lakini ukihitajika japo ujitoe mhanga kwa watu wako kama Mandela hutaweza asilani. Tumpe tu heshima yake huyu Mzee, na apumzike kwa amani.
Back
Top Bottom