Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Absolutely
Changamoto yako ni kwamba jamaa hataki hata kuanza nawe, ingawa ana option ya wanne na hofu yako ni kwamba jamaa anawaza kuoa mmoja ambaye sio wewe. Hapo inahitajika akili kubwa, lazima ukubali kuwa risk taker ni heri kumheshimu Mungu, hata kama wanadamu utawakosea hapo utakuwa salama.
 
Sasa unataka nirudi nirudi nyumbani?? Au nisubirie hiyo miaka 30 ya kuchunguzwa? Mm siogo
Sijaandika urudi kwenu kwani jamaa kakukuta kwenu mkaanza ishi pamoja umeandika ulikuwa umepanga labla kama nimesoma sikukuelewa best maamuzi ni yako hata hivyo hatujasikia maelezo ya upande wa pili atueleze pamoja na kumtimizia mahitaji yote kama mke why kagoma kukuoa.
 
Umechoka halafu huondoki? Bado hujachoka ukichoka utakuja kutupa taarifa siku kwamba ulichoka na uliondoka na umepata bwana anayekupenda.
Kupewa hela sio kigezo cha kupendwa.
Yeye haoni umuhimu wa kuoa kwani umeshajirahisisha umekaatu hapo kila kitu kipo mang'anyu anajipatu

Huyo hakupendi ila wewe ndio unampenda
 
Habari zenu wanaJF

Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia)

Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja.

Swala lililonileta kwenu.

Huyu mtu ni muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye swala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki.

Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani hajaoa, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe space ndani ya muda flani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.

Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila swala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie.

Simuelewi! Au ana miiko Niko hoves nimechoka kuzini

Hata hili umeshindwa kungamua kweli. ? Wewe sio chagua lake la kuoa. Bali mnasogeza maisha for the time being.
 
Watu wote tupo kikazi lakini si unakua unapanga nyumba na ndugu wanakutembelea, sasa inakuwaje ukianza kuishi na mwanaume asokuwa mmeo? Au ndugu hawakutembelei?

Tuko mikoa tofauti japo ndugu huja kututembelea baadhi ndugu washkaji wale
 
Changamoto yako ni kwamba jamaa hataki hata kuanza nawe, ingawa ana option ya wanne na hofu yako ni kwamba jamaa anawaza kuoa mmoja ambaye sio wewe. Hapo inahitajika akili kubwa, lazima ukubali kuwa risk taker ni heri kumheshimu Mungu, hata kama wanadamu utawakosea hapo utakuwa salama.

Sawa nimekuelewa point yako
 
Sijaandika urudi kwenu kwani jamaa kakukuta kwenu mkaanza ishi pamoja umeandika ulikuwa umepanga labla kama nimesoma sikukuelewa best maamuzi ni yako hata hivyo hatujasikia maelezo ya upande wa pili atueleze pamoja na kumtimizia mahitaji yote kama mke why kagoma kukuoa.

Yeye anasema muda bado ndoa zipo tu nivumilie nimechoka miaka yote anakula tu na namuulizaga kipi kinamfanya aone muda bado

Ajabu ndoa anasema bado muda ila watoto anataka
 
Akili mkichwa uamue KUSUKA ama KUNYOA. Je, uko tayari kuondoka hapo kwake ukaanze kuishi mwenyewe? Je, unaweza kuishi bila huyu mtu katika maisha yako? Je, ukiishi mwenyewe na yeye akiwa na nyege zake au wewe ukiwa na nyege hutamvulia chupi? Wazazi wa pande zote mbili kama wapo hai wanasemaje? Hajagusia suala la kukupa mimba?
Itakua kweli hanipendi mimi pia nawaza hilo

Lakini sasa wanaume wote wanakasoro yeye kasoro yake ndio hiyo hataki kunioa naogopa nisije nikaolewa na mtu ambaye hatuendani vitu vingi huyu 99.9% vyote tunaendana tatizo ni hilo tu hayuko tayari na ananiambia kabisa sipo tayari kwasasa but i’ll marry you
 
Umechoka halafu huondoki? Bado hujachoka ukichoka utakuja kutupa taarifa siku kwamba ulichoka na uliondoka na umepata bwana anayekupenda.
Kupewa hela sio kigezo cha kupendwa.
Yeye haoni umuhimu wa kuoa kwani umeshajirahisisha umekaatu hapo kila kitu kipo mang'anyu anajipatu

Huyo hakupendi ila wewe ndio unampenda

Sijapata huyo wa kunipenda

Nilikua nao wote walikua na kasoro kubwa kubwa huyu kawaZidi vingi

Na sio ananipa hela ni tunasaidiana japo Kuna vitu vikubwa kanifanyia vya kuonesha kabisa ananipenda kiukweli

Kumpenda maybe kweli mimi ndio nampenda zaidi maana hata ndoa m ndio naongelea kila wakati
 
Ni kweli

Yani wanaona kuachana ni rahisi tu tena kwa mtu ambaye mambo mengi mnaendana na amekufanyia makubwa

Nimemuachia Mungu hopeful atatufikisha kwenye ndoa ya halali

Nimempa miaka3 tu panapomajaaliwa

Threads nyingi humu watu wanalalamika mara hivi mara vile watu wanachangamoto kibao za mapenzi mara nguvu za kiume sasa huyu kila kitu kiko biyee jamani
Yani unasema umempa miaka 3 tu,kwani wewe ndio unaoa hadi umpangie.Yani ingekuwa Mimi unaniambia hivyo Siku hiyo ningekwambia ujioe mwenyewe.

Kwa kauli hizo inaonekana jamaa ana mengi rohoni mwake ndio maana haoni maana ya kufunga ndio nawe.
 
Hata hili umeshindwa kungamua kweli. ? Wewe sio chagua lake la kuoa. Bali mnasogeza maisha for the time being.

Sasa hasara kwa Nani?? Mi yangu yananiendea na hiyo miaka 3 nikiona bado nitafanya ustaarabu mwingine maana ndio kwanza nitakua na 28yrs
 
Back
Top Bottom