Ewaa, hatimaye nimelipa kisasi... Full shangwe

ndandambuli

JF-Expert Member
Jul 2, 2017
948
639
Kuna jamaa kaninyandulia sana mke wangu, Mzee nilijifanya fala tu sijui kinachoendelea,kimya kimya nikaanza kupanga mikakati ya kumtafuta mke wake, haikuwa kazi rahisi kwasababu nilikuwa simfahamu, mwezi mmoja baadaye nikafanikiwa kupata namba yake tukaanza kuwasiliana, miezi mitatu baadaye nikamtia mikononi, mtoto wa watu alijitunza sana yaani nilimkuta kama alivyozaliwa.

Baada muda fulani nikalazimika kumwambia sababu ya kutembea naye ilikuwa ni kulipa kisasi kwasababu mumewe anatembea na mke wangu,hakushtuka hata kidogo akaniambia anamjua mumewe ni kiwembe,ana watoto wawili nje ya ndoa, akaniambia nayeye anatamani sana alipe kisasi kama nipo tayari tukapime ngoma ili nimtie mimba ,tukakubaliana iwe hivyo tayari nimeshamtia mimba tunamsubiri ajaye

Nawashauri nyote mnaosalitiwa na wake zenu waume zenu msikurupuke ,dawa ni kulipa kisasi tu mkiamua kusameheana sameheaneni mkiwa ngoma droo,sio mnasameheana halafu mnabaki na vinyongo mioyoni mwenu,usipolipa kisasi utakuwa na kinyongo tu hatimaye magonjwa ya moyo.
 
Kuna jamaa kaninyandulia sana mke wangu,Mzee nilijifanya fala tu sijui kinachoendelea,kimya kimya nikaanza kupanga mikakati ya kumtafuta mke wake,haikuwa kazi rahisi kwasababu nilikuwa simfahamu,mwezi mmoja baadaye nikafanikiwa kupata namba yake tukaanza kuwasiliana,miezi mitatu baadaye nikamtia mikononi, mtoto wa watu alijitunza sana yaani nilimkuta kama alivyozaliwa,Baada muda fulani nikalazimika kumwambia sababu ya kutembea naye ilikuwa ni kulipa kisasi kwasababu mumewe anatembea na mke wangu,hakushtuka hata kidogo akaniambia anamjua mumewe ni kiwembe,ana watoto wawili nje ya ndoa, akaniambia nayeye anatamani sana alipe kisasi kama nipo tayari tukapime ngoma ili nimtie mimba ,tukakubaliana iwe hivyo tayari nimeshamtia mimba tunamsubiri ajaye

Dah. Una moyo sana bro. Hata hivyo pole kwa kusalitiwa
 
nasisitiza ukiamua kuchkua maamuz haya ucsahau kutembea na "kimbo" Kama lubricant chochote kinaweza kutokea

Muhudumu Leta chai
 
..nikaanza kupanga mikakati ya kumtafuta mke wake,haikuwa kazi rahisi kwasababu nilikuwa simfahamu,mwezi mmoja baadaye nikafanikiwa kupata namba yake ,miezi mitatu baadaye nikamtia mikononi, mtoto wa watu alijitunza sana yaani nilimkuta kama alivyozaliwa
Mke wa mtu ukamkuta "kama alivyozaliwa"? kuchapiwa kutakuwa kumekuathiri sana Jomba. Pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom