What he means ni masters ipo inatolewa ud ingawa meaning kwa hiyo sentensi ni tata hakuna masters in university ila masters ipo inatolewa ndani ya ud
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Naombeni msaada kwa yoyote mwenye uwezo wa kunirekebishia hiyo display ya hiyo simu au anielekeze ambako naweza kufanikiwa kupata
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Cna hakika na uwezo wako wa kufikiri ila km unataka kujua kazi yao imagine wote waache kufanya kazi kwa lisaa limoja tu tz nzima af majambazi vibaka wezi wajue ndo utajua kaz yao
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mleta thread ulifaulu historia ya nchi yako kwa point pumba ndo mana umechora hiki kitu ukame mkali ulitaka apeleke mvua?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Waswahili wanasema mtt akililia wembe mpe unashabikia vita wakati hata yale ya Gongolamboto hukuwawi kuyaona hv vita unaijua au unaisikia ww?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Fikiria athari zake thn ukishajua na km kweli una dhamira na huyo mdada na unamrespect utaacha otherwise is upto u to decide ur future
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Af wengine hatujui exchange rate em fanya conversion ya hio dollar kwa tshs tujue ni sh ngapi mtoa uzi tafwadhwali!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.