Chadema wanatafuta umaarufu wa misiba Polisi wa CCM wanaouwa watoto wadogo wanatoka Madrasa wanatafuta nini katika siasa za nchi hii?
Hata katika mauji ya Soweto ya wanafunzi kule Afrika ya Kusini wakati wa ubaguzi wa rangi bado Chama cha ANC kiliruhusiwa kuiiaga na kuizika miili ile kwa heshima zote wala haikuzikwa na serikali vipi serikali iwazike waliyouwawa na jeshi lake la polisi? Kwani Tanzania huru watu wazuwiliwe kuwaaga Marehemu?
Hebu pamoja na ushabiki wetu tuwe waaungwana na wakweli kwani kumbuka kuwa leo kwangu kesho kwa mwingine tuache ushabiki wa Vyama katika hili Ifi kama bomu lile lingetupwa katika mkutano wa CCM leo hali ingekuwaje, wangezuwiliwa kufanya chochote wanachotaka kufanya kusema akina Savimbi Nape na wengine? Je viongozi wangapi leo wa Chadema wangekuwa wapo Ndani?