Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Mkuu kuwa na core nyingi haimaanishi speed inaongezeka, ni sawa na kuunganisha battery nyingi in parallel (total voltage drop in ile ile ya battery moja).
Processor
Intel Core i7-3960X processor ndio iliyotumika kwenye ile ambayo PC World wameiweka top, hii prosessa ina clock speed ya 4.8 Ghz lakini ina Core 6 sidhani kama unaweza kulinganisha na Prosesa ya Fusion Leviathan ambayo clock speed ni 4.6 lakini in acore 12 .
Processor zote mbili zinaweza kuwa fast (computing power) kutokana na matumizi. kwa mfano kama unatumia computer kucheza game basi unachohitaji ni clock speed kubwa, unaweza kuwa na processor yenye core moja tu lakini clock speed yake 4.8GHZ ikuishinda ile yenye core 100 za 4.6GHZ. Lakini kama unatumia mashine yako kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja (parallel computing), kwa mfano crawling the web au working with SETI@home project basi computing power itaongezeka kama utatumia processor yenye core nyingi.



