wenye kujua naombeni mnisaidie

wenye kujua naombeni mnisaidie

Babchabi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,745
Reaction score
777
computer yangu aina ya acer aspire model x3900 nikiwasha inaboot poa kabisa na vijitaa vyote vinaonyesha kuashiria kua mashine iko on lakini katika screen hakuna chochote kinachoonyesha nimepachika vga card nyengine hali ndio hiyo hiyo nimeitoa processor nikaisafisha hakuna kililichoonyesha naomba msaada wenu natanguliza shukran kwa wot0e Foxconn-For-Acer-motherboard-H57D01-1-0-8EKS3H-Aspire-X3900-AX3900-Motherboard-DDR3-ATX-LGA-1156.jpg Acer-Aspire-X3900-Desktop-3.jpg acer-aspire-x3900-d1e2.jpg
 
computer yangu aina ya acer aspire model x3900 nikiwasha inaboot poa kabisa na vijitaa vyote vinaonyesha kuashiria kua mashine iko on lakini katika screen hakuna chochote kinachoonyesha nimepachika vga card nyengine hali ndio hiyo hiyo nimeitoa processor nikaisafisha hakuna kililichoonyesha naomba msaada wenu natanguliza shukran kwa wot0e View attachment 98972 View attachment 98973 View attachment 98974
Jaribu kuchunguza njia za display nina mashaka na connection za display..zitakuwa zinaloose connection...TALKING FROM EXPERIENCE..
 
Angalia na RAM pia.
ram iliyokuwepo ni ya 2gb nilifikiri kua labda ina tatizo niliwekwa nyengine kama hiyo ya 2gb still hamna kitu na nimeweka ram katika mashine nyengine iko pôa
 
computer yangu aina ya acer aspire model x3900 nikiwasha inaboot poa kabisa na vijitaa vyote vinaonyesha kuashiria kua mashine iko on lakini katika screen hakuna chochote kinachoonyesha nimepachika vga card nyengine hali ndio hiyo hiyo nimeitoa processor nikaisafisha hakuna kililichoonyesha naomba msaada wenu natanguliza shukran kwa wot0e View attachment 98972 View attachment 98973 View attachment 98974

VGA card inaweza ikawa ni nzima na uzima wake kabisa, lakini hapo kuna mawili either VGA cable yenyewe inaweza ikawa imekufa ama screen yako.Kwa harakaharaka tafuta screen nyingine iwashie na hiyo CPU yako uone kama isipowaka basi tafuta VGA cable nyingine jaribu kutestia.Na kama isipowaka badilisha RAM uone. Na kama bado ni vilevile ipige blower uisafishe maanasometime yanakuwa ni mavumbi tu
 
mkuu screen ipo fresh na ndio hii ninayotumia saivi na kuhusu cable haina tabu c jui kwa upande huo wa kuipiga blower
 
Jaribu hii: to cable zote pamoja na power, toa betri kwenye motherboard. Baada ya saa 1, rudisha cable zote na betri - washa. Kila la kheri.
 
ok nafanya hivyo mkuuu
 
Hakuna beep error yoyote?

Sent from my HTC Desire S using Tapatalk 2
yaani mkuu cha kushangaza nikigusa on button mashine inakimbiza kuliko maelezo ila hakuna msg yoyote inayoleta katika screen nimecheki cable , ram, nimetoa betri on motherboard mashine ukiangalia taa zote zinawaka cd room inafanya kazi ila haionyeshi lolote iko black screen hakuna hata ka msg ka moja
 
Km screen yako iko poa bac badilisha window inawezekana iko incopartible na screen yako

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
yaani mkuu cha kushangaza nikigusa on button mashine inakimbiza kuliko maelezo ila hakuna msg yoyote inayoleta katika screen nimecheki cable , ram, nimetoa betri on motherboard mashine ukiangalia taa zote zinawaka cd room inafanya kazi ila haionyeshi lolote iko black screen hakuna hata ka msg ka moja
Ni PM tufanye biashara
 
Kuna fuz nyeupe ndogo inatakiwa uzipime hizo uwa zina kata maranying uwa ni voltage 12/5 so hiyo ina fanya computer istoe img pia kwenye img card inatakiwa uihakiki kama itakuwa nzima haitakiwi ipate joto kama procesor.pia jalibu uki connect monitor press f9 or f10 sina uhakika na f gan but jaribu kubofya zote af inaweza kukupa picha kama itakuwa haina shida img card
 
Jaribu hii: to cable zote pamoja na power, toa betri kwenye motherboard. Baada ya saa 1, rudisha cable zote na betri - washa. Kila la kheri.
mkuu nimefanikiwa ahsante sana
 
ahsanteni sana kwa wote mlionipa ushauri tatizo langu tayari lishaondoka broo o-man hapo juu big up
 
JF ukitoa mambo ya sihasa (siasa) kwaumoja nikama samaki na maji, hasa jukwaa hili
 
Back
Top Bottom