Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 9,283
- 9,034
Naomba msaada kwa anayefahamu jinsi ya kuinstall FIFA 13 for SONY Ericsson Xperia Play. Kama una duka, you will be paid ila ningeshukuru pia kama nitapata msaada.Ninazo tano, na zina Steet Fighter 4 ambayo ni famous States, ila bongo madogo wanataka FIFA 13.
EA Sports wanayo kwenye iOS, lakini kwenye Android sijaona na huku nilipo Android hawaifagilii na hawana maduka special for Andriod, hata nilipoenda BestBuy,Gamestop na Radioshack geek Squads zao hazikuwa na ufahamu wa hayo mambo.
Najua nipo jukwaa la wataalam ... let's do this!