Recent content by Racheledo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

    Jiwazie na wewe!umejipangaje kukabiliana na watoto wa Dom,mi kwa research yangu isiyo rasmi mwanaume akiacha mke akatangulia pale huwa hawakumbuki kuleta mke/familia,badala yake anaanzisha familia mpya,wakazi wa mji huu wakarimu kupita kiasi,usipokuwa makini unaoa bila kutarajia.Waliowahi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nimerudi tena: Natafuta mke wa kufanana nami

    Mke hatafutwi hivyo,unaishi wapi ambapo hukutani na wanawake? Una walakini...,uundiwe tume
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Jerusalem: Tanzania yapingana na Trump UN

    Atakaye ibariki,Israel atabarikiwa na atakayeilaani Israel atalaaniwa.Mungu natubu kwa niaba ya Taifa utusamehe na laana hii
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Tanzania yapiga kura Umoja wa Mataifa (UN) kuhusu kutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

    Kuna wa kumshinda Myahudi? Trump anajitambua,big up DR,kama wanabisha wauchukue mji!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mke wangu nilishawahi kumwacha talaka moja, naona ya pili inamnyemelea

    Ndoa ni ya wawili,mwanaume ataacha wazazi wake ataambatana na mke.Kwanini akae kwenu?,anatakiwa kukaa kwenye mji wenu so kwa wazazi,mlipendana wenyewe shaurianeni,sisi tutawashauri lakini shauri kuu kwenu.Ndo unajua umhim wa mkeo.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Kachukue form ya kuomba kufungua duka la dawa(duka la dawa muhimu) au pharmacy kwa Mganga mkuu wa Wilaya.Mengine yanajieleza kwenye form.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Clinic

    Nikurahisishie labda dental,paediatric,gynaecologic, urology,surgical, diabetic clinic,etc.or RCH clinic? Rahisisha
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mama aliyejifungua anaweza fanya Mapenzi?

    Lishaneni matango pori, fuata nyota ya kijani.pls
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna fao la kujitoa, Bunge limethibitisha

    Mungu aangilie kati,linatugusa wengi,tuajiriwe mpaka lini? Watupe haki yetu tukafanye yetu.55 Leo? Fikiria una 25-30,kweli mateso bila chuki.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo hofu zinavyotugharimu kwenye safari ya ujasiriamali

    Hasa hofu ya kushindwa ndo imewamaliza wengi,mjasiriamali ni lazima uwe na moyo wa jiwe,kuna wakati unaona biashara ama mradi uko mwishoni kuelekea kufa,mengi yanazungumzwa kwa ndg,jamaa na marafiki hata wenza.Amini kushindwa zoezi A linakupa akili ya kujipanga na B,naamini kushindwa kwingi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Kutoka kwenye ajira inahitaji maamuzi magumu,kabla hujaacha kazi anzisha biashara au mradi ambao utausimamia na ukaona faida yake inakuwaje na kama umepata hasara urekebishe wapi.Kwa sababu Mara nyingi biashara haikuwi Mara moja,ni kusimama na kuanguka.Tafakari kabla.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nabadili course kutoka bachelor of science education to bachelor of nursing

    Hela njenje siyo! Uliza ujibiwe labda UK c Tz
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nabadili course kutoka bachelor of science education to bachelor of nursing

    Mshauri mkuu ni wewe,Kama unapenda nursing nenda,na ujue A_Z yake huku si mchezomchezo.Pia angalia future yako,usisome kozi ambayo huna kipaji nacho,itakuwa mzigo na majuto.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Joti kufunga ndoa Jumamosi hii

    Kweli anaoa kadi zake alisambaza toka Aug 2017,Nafanya kazi na dadake.
Back
Top Bottom