Joti kufunga ndoa Jumamosi hii

e122bb3271df970849eb6e69b8c601a7.jpg

Matukio katika picha mchekeshaji joti akiwa na mkewe mtarajiwa kwenye sendoff paty yao. Jumamosi hii ndio harusi babkubwa ndani ya ukumbi wa mlimani city
Baade ukute ni tangazo
 
Apunguze makulaji vinginevyo atazeeka vibaya mno na bwana ake alivyo km kitoto kazi ako nayo
Siwapendi wadada mnajitia hiyo midubuwasha..! Mungu aniepushe na wadada wa kiswahili anibariki mbantu mmoja matata...!
 
Hivi lile kundi lao bado lipo? Manake naona siku hizi kila mmoja ni Solo msanii!!!
 
Halafu hawa wasanii bangua kichwa!
Yule bidada aliyefunga naye ndoa ya Tigo, kumbe hakumuoa?
Na kupendeza kote'uko haikuwa ndoa ile!
Sitaki kuamini tena mishebeduo yao hii ya kusanii ndoa.
 


Ukiacha na tangazo la TIGO la harusi sasa haiwi haiwi imekua kweli Joti amepata jiko harusi yake tarehe 28/10/2017 leo jumamosi
Fungu video kumcheki joti akiwa kwenye sherehe yKe
 
Back
Top Bottom