Recent content by Pseudonym

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kazi za Umoja wa mataifa(UN)

    Ahsante mkuu ngoja nijaribu tena.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Vacancy UN

    Samahani,umejuaje centre ni Kurasini? Mie wamenijulisha lakini wamesema centre ni Dar,hawajataja exact location.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Bongo star search 2015

    mh hv viuno siku hz na wanaume kwny muziki!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Bongo star search 2015

    Uko sahihi Heaven Sent
  5. P

    JamiiForums Tanzania Bongo star search 2015

    hz nyimbo anazochagua Fonabo!
  6. P

    JamiiForums Tanzania Bongo star search 2015

    Na Mwishno wa Kelvin ndo hapo. Akienda top 3 mie naquit JF
  7. P

    JamiiForums Tanzania Bongo star search 2015

    Chief Salama mzuri ila kajiachia
  8. P

    JamiiForums Tanzania Bongo star search 2015

    Huyu Salama sjui namwonaje! Yuko rough sana yani hayuko presentable! Hata kama anataka kuonekana kiume,bado angeweza kuwa smart
  9. P

    JamiiForums Tanzania Bongo star search 2015

    unawaza lipi?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Bongo star search 2015

    Huyu Frida mi naona aibu kwa niaba yake mweh
  11. P

    JamiiForums Tanzania Bongo star search 2015

    Msechu kanenepa hadi kawa wa duara kbs!
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kuwe na shopping mall moja, ianzie Fire, Uhuru, Kisutu na kuishia Jangwani pembezoni

    Uko sahihi kabisa Kwa mara ya kwanza naona mtu mwenye mtazamo kama wangu kuhusu utamaduni wa kujenga shopping malls ambao haupo hapa nchini.Nakubaliana na wewe kwamba wakati mwingine nguvu zutumike katika kuhakikisha kuwa hii miradi inafanikiwa.Mimi naongezea kwa kusema,nguvu pia zitumike...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa anayejua nyimbo za Gospel (English)

    1.Israel Houghton-great is thy faithfulnes, to worship you I live, You hold my world in your hands, Your presence is heaven, My chains are gone etc, 2. Hillsong..hawa wana nyng sana tafta mwnyw. Ila usiziache Still, how great is your name,power of your love 3. Kirk Franklin-Now behold the...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kuwe na shopping mall moja, ianzie Fire, Uhuru, Kisutu na kuishia Jangwani pembezoni

    wazo zuri sana. Wanaokukashfu wanahtaji kusafir au kugugo na kuona wenzetu wamefanyaje,..angalia festival mall huko Cairo kwa mfano. Na pia unafanya kiv inaitwa structured trade financing kupata fund..ubunifu. changamoto ninayoiona ni kuwa je tuko tayari? Hatuna culture ya hvo yani sisi...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Misri (Egypt), nchi pekee ya kiarabu iliyostaarabika

    dah ndugu hayo matusi yote umemtukana kisa?
Back
Top Bottom