Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

star tv sijui kamera zao wamepaka mafuta....mbona mary amenona sana mafuta usoni
 
Friiiiiiidah my twinie,huu wimbo atauweza maana wanaendana kimtindo.
 
Hebu tuweke 3 bora hapa!
Angel
Kayumba
Malizia.....
 
huu wimbo alioimba Frida utampaisha, angel kakosea
 
Dress codes zake tu uwiiiiiiii!
Em snickers though....
 
Hivi hii star tv na wenzangu inawazingua kama mie daah ..bored
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom