mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
Mimi Peter ananikera sana anavyojiachia,kitambi kama kiroba bwana!!!!
Yaaa nahisi anafakamia sana msosi
Mimi Peter ananikera sana anavyojiachia,kitambi kama kiroba bwana!!!!
hahaha bet inakuwa moja tu apo umevunja kanuni
Hii dress code ya Peter duh!!
Janja Janja team. Sema msechu ana sautiTeh teh..Msechu anazingua..Anakuwa kama kev bana
wanaonyesha chaneli ipi mbona mimi sioni jameni ?
Nabet final ni Kayumba vs Mary
au Kayumba vs Fenabo...
No way...
Kayumba hawezi kosa final.
Saudia channel 07