Recent content by prof kisambuka

  1. prof kisambuka

    JamiiForums Tanzania Lile kaburi limeshajengewa kwa heshima, halijazungukwa tena na mabati

    Hivi kule Lupaso hali ikoje?
  2. prof kisambuka

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kutotaka Bodi ya kitaalam ya Walimu

    Profession Board ni muhimu kwenye profession yoyote ambayo inazingatia maadili na nidhamu ya wataalamu. Nadhani hoja ilipaswa kuwa makato atabebeshwa nani. Mathalani, kumekuwepo na utaratibu usiorasmi kwa fields za uhasibu na ununuzi waajiri kuwalipia annual fees watumishi wao. Nafikiri...
  3. prof kisambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasanii walivyoboronga nyimbo za maombolezo

    Watu wenye matumbo na miili mikubwa sijui kwann wamebarikiwa sana kuimba.
  4. prof kisambuka

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kumtunuku Msekwa shahada ya heshima ya udaktari

    Ni shahada ya Umahiri na sio Umahili. Kimtiririko ziko hivi; 1. Astashahada= Certificate 2. Stashahada=Diploma 3. Shahada= Bachelor Degree 4. Stashahada ya Uzamili= Postgraduate Diploma 5. Shahada ya Umahiri= Masters Degree 6. Shahada ya Uzamivu= Philosophical Doctorate (Ph.D) NOTE: Uzamili=...
  5. prof kisambuka

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: CHADEMA kwa siku tisa zilizobaki itafanya mikutano 450 ndani ya majimbo 45

    'Chopa ya tatu itatumiwa na anayemuunga mkono mgombea wa chadema' ni yupi huyo 'anayemuunga'?
  6. prof kisambuka

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yatangaza Tarehe 19 Oktoba kama siku ya mapumziko, Tarehe 28 imetajwa mapumziko, 29 kuwa siku ya kazi kama kawaida

    Nimecheka sana ulivyotuita wa bara vichogo. Hiv kutokua na kisogo kma wazanzibar wengi (hasa wapemba) ni sifa eeeh!! Halaf unasemaje SMZ ni nchi huku wakati iko ndani ya SMT.
  7. prof kisambuka

    JamiiForums Tanzania Basi gani luxury barabara ya Dar-Arusha?

    Kama unataka usafiri salama na uhakika panda Kilimanjaro Express wana Luxuary na Semi Luxuary, haotojutia safari yako. Mbali na huduma nzuri lakin pia madereva wao wapo makini sana barabarani.
  8. prof kisambuka

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya Maadili ya Uchaguzi yamsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa siku 7

    Malipo yanaanza hapa hapa duniani
  9. prof kisambuka

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi Mbarali wavamia msafara wa mgombea Ubunge wa CHADEMA na kulipua mabomu

    Ndugu mbona ushabik umezid hapo. Umefikiria kwa kutumia nn uliposema jeshi la polis lifutwe? Unajua kazi za halali za jeshi la polis kweli!Na je, baada ya Jeshi la Polis kufutwa majukum yake nan atafanya? Vipi kuhusu hali ya usalama wa raia na mali zao utakavyokuwa.
  10. prof kisambuka

    JamiiForums Tanzania GE2020 Picha: CHADEMA yaendelea na kampeni Mbarali , CCM hali mbaya

    Silinde alienda Tunduma baada ya kuona jimbo lake la Momba la moto.
  11. prof kisambuka

    JamiiForums Tanzania Safari ya Sudani Kusini

    Mkuu nimeipenda hyo safari yako. Nilitaman isiishe mapema lakin nimeshangaa kuisha mapema. Nashauri ungeandika kitabu ingesaidia, au uandike makala kma hizo zenye mwendelezo na sura kadhaa. Itasaidia sana watu tunaopenda kujua historia. Nilipenda sana kujua suala la matumizi ya Lugha katika...
  12. prof kisambuka

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

    Maendeleo hayana vyama.
  13. prof kisambuka

    JamiiForums Tanzania James Mbatia mwanasiasa wa ovyo kutoka Tanzania, miaka zaidi ya kumi kwenye game unawaza kuwa chama kikuu cha upinzani?

    Ndo mana CCM wanawapenda NCCR mageuzi coz ni wasaidiz wao wa kisiasa na sio wapinzani wao wa kuchukua dola. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. prof kisambuka

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya Masters ya Development Studies

    Nakushauri kajiendeleze huko huko Education kuna course kma MAED, MEMA, MASP ni nzuri sana. Ukihitimu zitakusaidia kukupa promotion kama unapractice Ualimu au any related post mf. exams officer popote (private/govt) kutokana na kuwa na Ubobevu kwenye taaluma ya Education. Lakin pia...
  15. prof kisambuka

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ni kinara wa kupambana na covid-19 ,Amenunua Body sanitizers 25

    Kuwa na huruma basi Wamemvunjia Billcanas Club na mashamba yake kule Hai halaf bado unataka achange!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom