Basi gani luxury barabara ya Dar-Arusha?

Basi gani luxury barabara ya Dar-Arusha?

Kama unataka usafiri salama na uhakika panda Kilimanjaro Express wana Luxuary na Semi Luxuary, haotojutia safari yako.

Mbali na huduma nzuri lakin pia madereva wao wapo makini sana barabarani.
 
Ndugu, rows zipo 2 tu. Row ya kwanza( upande wa kulia) siti ni moja moja. Row ya pili (upande wa kushoto) siti za watu wawili kukaa pamoja kama ilivyo kwa mabasi mengi. Natumaini hapo utakuwa umeelewa.
Ndio, nilichomaanisha ni rows za seats sio lazima ziwe separate rows
 
Bus zuri la scania na sio michina kwa sasa ni Saibaba ya Nairobi.Nilifurahia sana,Ukitaka kuwahi sana na ikiwezekana mpaka kaburini ni BM,2014 tar 17 December kutokea Morogoro-Arusha BM walituingiza porini ila hatukuumia.Kilimanjaro wako poa ila usiwe na haraka.
 
Back
Top Bottom