Muuzaji wa cheti ni mwanaume, mnunuzi ni mwanamke, na ndiyo majina yetu ya kibantu" Bahati, Shukuru, Ahsante, Matatizo " na wala siyo ya kutunga. Ila silazimishi mtu aamini, kwa watu wa Fasihi wanaangalia msisitizo wa mwandishi, na msisitizo wangu siyo jinsia, Bali ni kushawishi watu wasome...