Rais Magufuli kwa hili yuko sawa, ITV jirekebisheni

Rais Magufuli kwa hili yuko sawa, ITV jirekebisheni

ULIETOA POST KAMA HII UNASHIDA KICHWANI" Mimi nilifikiri utasema migogoro haipo!!! Sasa kama ipo kosa la itv ni lipi???? Je, ni kutoa taarifa mara kwa mara????? KAMA MIGOGORO HII INASABABISHA VIFO VYA WATANZANIA KILA MARA,, SHERIA ZA NCHI NA DOLA, VIMESHINDWA KUTAFUTA UFUMBUZI, SASA MNABAKIA KUVILAUMU VYOMBO VYA HABARI VIKITOA TAARIFA. Huo ni ubashite" TATUENI HIO SHIDA.
 
Kwa hiyo kuweka wazi maovu ni uchochezi? Mbona jeshi LA polisi likiua majambazi mnaonyesha? Kama ni ivo taarifa zote zinazohusu maovu sizionyeshwe mana ata ile ya nape kutishiwa bastola nayo ni uchochezi, watz tuacheni uvivu wa kutumia akili tulopewa na mungu
Usiwe mjinga!
Nani kaandika uchochezi kwenye mada hii?
Nasema wafugaji wanapewa prominence kwa sababu wana hisa ITV.
Na niwe specific, ni wafugaji wamasaai tu wanapendekewa, hatusikii habari za migogoro kama hiyo ya wafugaji wa kisukuma kule mikoa ya kusini na nyanda za juu kusini.

Double standards za ITV exposed.
 
We unaona ni habari ndogo wakulima na wafugaji kuuana alafu isisomwe
 
ITV leo wapende wasipende hili la mapigano ya wafugaji na wakulima linawaweka mahali si pazuri.

ITV, haipiti siku mbili lazima watarusha migogoro ya wafugaji na wakulima huko Mvomero.

Na mimi nimejiuliza mara nyingi, hawa wafugaji wana ubia na ITV?

MARA NYINGI KAMA SI ZOTE, wafugaji ndio wamekuwa wachokozi, maana wakulima wako maeneo yao ya asili wakati wafugaji wamesafiri all the way toka mikoa ya kaskazini.

ITV huwa tunawashangaa na asante Rais kumbe nawe linakukera.
Mm siku zote huwa nafahamu ITV wapo kiharakati zaidi.
 
Kwa hiyo mnataka warushe ngoma za vigodoro, wafugaji na wakulima wana migogoro ambayo wakuu hawataki kuishughulikia kwa kina. Na kwa nini mkuu hataki watanzania wajue . ITV pigeni kazi msimuogope Daud
 
Itabidi habari zote ziwe zinahaririwa kwa Waziri kabla ya kurushwa na mkulu atoe go ahead maana Vyombo binafsi havijui mkulu anatakaje na kumpangia haiwezekani... sasa nimeaanza kutishika... ITV imeshakuwa Doa tafuteni biashara nyingine tena tena ni Wachaga mmh!
Biashara nyingine ni kurusha habari za mapovu ya Magu tu.
 
Kwa hiyo mnataka warushe ngoma za vigodoro, wafugaji na wakulima wana migogoro ambayo wakuu hawataki kuishughulikia kwa kina. Na kwa nini mkuu hataki watanzania wajue . ITV pigeni kazi msimuogope Daud
ITV kisemeo cha wafugaji wavamizi.
 
Sasa kama matatizo yapo kwa nini yafichwe? Ni wajibu wa kiongozi kuyatatua si kutaka yafichwe!
 
Haya ndio madhaifu ya kiongozi huyu! Anapenda Kiki tu za mazuri!
 
Mie naona mleta mada, Bashite na wengine wote wanaounga mkono mada hii, siku yao ya kuzaliwa ni tarehe 1 ya April. Halafu shule walipata 7Fs, hovyo kabisa yaan
 
ITV leo wapende wasipende hili la mapigano ya wafugaji na wakulima linawaweka mahali si pazuri.

ITV, haipiti siku mbili lazima watarusha migogoro ya wafugaji na wakulima huko Mvomero.

Na mimi nimejiuliza mara nyingi, hawa wafugaji wana ubia na ITV?

MARA NYINGI KAMA SI ZOTE, wafugaji ndio wamekuwa wachokozi, maana wakulima wako maeneo yao ya asili wakati wafugaji wamesafiri all the way toka mikoa ya kaskazini.

ITV huwa tunawashangaa na asante Rais kumbe nawe linakukera.
Tusichanganye tamko la Rais kuhusu migogoro ya wafugaji kuonyeshwa kama tamthlia.

Rais ameshangazwa na hizo Makala zisizohisha wakati kuna intervention zinaendelea. Kama ni tamthilia sawa hakuna shida.

Tatizo la media zetu zimebeba interest za watu ndiyo shida siyo interest za Taifa
 
ITV leo wapende wasipende hili la mapigano ya wafugaji na wakulima linawaweka mahali si pazuri.

ITV, haipiti siku mbili lazima watarusha migogoro ya wafugaji na wakulima huko Mvomero.

Na mimi nimejiuliza mara nyingi, hawa wafugaji wana ubia na ITV?

MARA NYINGI KAMA SI ZOTE, wafugaji ndio wamekuwa wachokozi, maana wakulima wako maeneo yao ya asili wakati wafugaji wamesafiri all the way toka mikoa ya kaskazini.

ITV huwa tunawashangaa na asante Rais kumbe nawe linakukera.
Kwa hili ITV wako sawa, haiwezekani watu wauwane halafu wao wasiripoti. Wametimiza majukumu yao ya kutupasha habari za migogoro ya wanajamii wa Kitanzania. Ni jukumu la viongozi kuchukua hatua. Hatukuwaweka madarakani mkauze sura.
 
Back
Top Bottom