Ngamanya Kitangalala
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 501
- 1,214
Kwa kweli mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia matukio kadhaa yanayokuwa yakirushwa live na hii television yetu ya Taifa
Kwa kweli ubora wa picha zake ni jambo linalokera na kufadhaisha sana,hasa ukizingatia kwa sasa kuna television binafsi ambazo kiukweli picha zao zina ubora wa hali ya juu
Shirika hili kama yalivyo mashirika mengine ya serikali, yamekuwa yakipokea ruzuku toka serikalini
Wanashindwaje kushindana na vyombo binafsi?
Na tena TBC inaongozwa na nguli na msomi wa tasnia ya habari hapa nchini Dr Ayub Ryoba, kwa kweli jitahidini kubadilika
Mnatutia aibu kama Taifa