Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Hakika viongozi wetu hebu kuweni wakweli kwenye mambo ya msingi. Nakumbuka mwaka jana baada ya Bunge la bajeti ilionekana Serikali imepitisha muswaada wa kulipia VAT kwa watumiaji wa simu wanaponunua muda wa maongezi.
Wananchi walipinga sana hata Kamishna wa Mapato Bw. Alfayo Kidata kupitia vipindi mbalimbali alikuwa anatuhakikishia wananchi kuwa Makampuni ndio yatalipa VAT badala ya mwananchi. Ukweli ni kwamba mlipaji wa VAT in mwananchi maskini mlalahoi na mnyonge wa Tanzania.Kujiridhisha hebu nunua muda wa maongezi wa sh.1000/= utaletewa ujumbe usemayo muda in sh.846/= VAT ni sh.154/=
Je nani kalipa VAT? Viongozi has a Bw. Kidata hebu fafanua hilo ni wapi kampuni ktk.Sh.1000/= imelipa VAT?