Rais alimaanisha nini aliposema haya?

Rais alimaanisha nini aliposema haya?

Akiwa Shinyanga tarehe 12/01/2017 mh.Raisi alisema:
"Tukitengeneza barabara za lami,watu mtaweza kutengeneza matikiti maji na kuyapeleka kuyauza Zanzibar".

Lengo la Uzi huu ni kuomba wale waliomuelewa mh.kuhusu haya maneno machache,alikuwa anamaanisha nini??

Ahsanteni.
Hata yeye hajui alilolisema na anaweza kukana na kukuita mchochezi
 
Akili yako imeamua kuchagua hayo maneno tu, ila ukisikiliza hotuba yote utaelewa alikuwa anamaanisha nini.
Labda uwe si mtaalam wa hotuba. Hotuba huchambuliwa kwa ujumla wake, sentensi kwa sentensi, neno kwa neno na body language ya mzungumzaji. Kama huwa unaangalia na kusikiliza news channels kama CNN au BBC ungeelewa dhima ya mtoa uzi. Hotuba ya rais siyo sawa na hotuba ya kiongozi mwingine wa kawaida katika nchi. Obama akiongea unaweza kuta hotuba yake inachambuliwa siku nzima au wiki nzima wakiiangalia kwa ujumla wake, wakichambua sentensi na maneno aliyotumia kuwa alimaanisha nini na kwanini aliyatumia hayo na kisha wanalinganisha au kuhusisha na body language kama kweli alichokisema ndio hasa alichokusudia au alikuwa serious.
 
maana yake ni kwambwa mpandishe bei za vyakula wakati wa shida..ili ng'ombe watatu mbadilishe kwa debe la mahindi.
 
maana yake ni kwambwa mpandishe bei za vyakula wakati wa shida..ili ng'ombe watatu mbadilishe kwa debe la mahindi.
MKUU jitahidi kuulizia na huko mtaani ili tujaribu kupata mawazo mbadala juu ya hili
 
Akili yako imeamua kuchagua hayo maneno tu, ila ukisikiliza hotuba yote utaelewa alikuwa anamaanisha nini.
Kaka sjui Dada huwa nafatilia coment zako yani upo kama sigara Kali kokote unaiwasha same times unaponda same times unasifu upo upo tu
 
Akiwa Shinyanga tarehe 12/01/2017 mh.Raisi alisema:
"Tukitengeneza barabara za lami,watu mtaweza kutengeneza matikiti maji na kuyapeleka kuyauza Zanzibar".

Lengo la Uzi huu ni kuomba wale waliomuelewa mh.kuhusu haya maneno machache,alikuwa anamaanisha nini??

Ahsanteni.
Alimaanisha kuwa barabara zikiwa nzuri wanaweza kufanya BIASHARA za Tikiti maji ambazo zingine ZINAOZEA shambani kwa kukosa USAFIRI.

Hivyo barabara zikiwa nzuri wanaweza hata KUUZA mazao yao MPAKA Zanzibar.
Kwa maneno mengine alikuwa anawapa HAMASA ya kufanya BIASHARA. SIDHANI kama alizungumza akiwa na hiana yeyote.
 
Asante kwa ufafanuzi MKUU..
 
Ukimsikiliza mtu kwa nia ya kumkosoa hutomuelewa kamwe muwe mnamsikiliza kwa nia njema mtamuelewa tu
Namkumbuka Mrisho Mpoto alipoulizwa kuwa mbona jumbe nyingi za mashairi yake ni ngumu, alijibu " ukiona huelewi ujue siyo Ujumbe wako,usiumize kichwa kuutafakari"
 
Ukichunguza hotuba ile ya shinyanga ina kizungumkuti alidai alipokwenda muhimbili alikuta wamama wamelala kumi kwenye kitanda cha futi mbili ikabidi awanunulie kila moja kitanda chake, ile hotuba hai make sense kabisa.
 
Itakuwa ni rahisi kusafiri popote bila kupoteza muda... Hiyo ndiyo maana yake..
 
Back
Top Bottom