Recent content by Pragizzle

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameamua kuniacha bila sababu sasa anataka tuuze nyumba tugawane pesa

    Sababu ni kwamba hautaki kumpa tunda. Ni mmoja kati ya 1000000 ambaye anataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Apo ukute wala sio bikra ndio inakua nonsense kabisa [emoji23][emoji23]
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Tetemeko la ardhi limetokea, Askari mmoja apoteza maisha

    Kuna tetemeko, ila scale yake ni ndogo
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Tetemeko la ardhi limetokea, Askari mmoja apoteza maisha

    Nipo Arusha, niko kwenye jengo la Mega Complex nimehisi kama jengo linatetemeka kwa mbali nikahisi nina matatizo, ila mwenzangu aliye karibu akahisi kama kuna tetemeko. It happened between 10- 15 minutes ago.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Uchochezi?

    Umu wanafiki wamo, nendeni Russia [emoji635] muone watu wanavyopenda kitimoto.
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga KUMTUMIA rais Magufuli kwa kampeni zake za URAIS Kenya ni MAKOSA MAKUBWA!

    Kwa sababu ya akili finyu basi wacha akajichimbie kaburi. Ni faida kwetu Magufuli kumpigia kampeni Raila Odinga then ashindwe uchaguzi. Ikifika 2020, Uhuru haji Tanzania kupigia kampeni UKAWA, ila anajua atasaidia kwa namna gani.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Dodoma(Dodoma Stadium) kuanza hivi karibuni

    Izo picha ulizoweza na chini yake ukaandika "mwonekano wa kiwanja kipya kitakachojengwa Dodoma" sio za kweli. Huo ni uwanja wa Olympic wa Ujerumani. Acheni kuwalisha wasiojua matango pori. Refer hiyo link apo chini, huo uwanja ulijengwa toka 1936... Redirect Notice
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    Dah, R.I.P watoto wazuri. Gone too soon ‍♂️
  8. P

    JamiiForums Tanzania Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

    Hawajakupangia direct, wamekupa options; ulipo, wapo.
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume na fikra potofu kuwa mchumba akisomeshwa lazima akusaliti

    Kusomesha mchumba ni sawa na kuotesha mpunga kwenye shamba la ngano, utavuna majani makavu [emoji28]
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake huwa tunatamani nini hasa kwa wanaume?

    Umeshatendwa vibaya wewe [emoji28][emoji28]
  11. P

    JamiiForums Tanzania Hichi kidikoda cha china ebay kitafaa kwa antenna kwa hapa tz?

    Ngoja wataalamu waje [emoji851][emoji851]
  12. P

    JamiiForums Tanzania Laptop mpya iko sokoni

    Payment on delivery....nipo stand kubwa arusha
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wadada mliozaa tu

    Ivi, ajali ikitokea kwenye kazi isiyo rasmi utatafuta mbinu za kupoteza ushahidi then at the end of the day ufanye plastic surgery kabisa kuondoa any trace of evidence, au utakubali matokeo ubaki na kovu? Labda tuanzie apo then tutaelewana.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Natamani iwe kweli [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Back
Top Bottom