Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,245
- 2,128
Haihitaji uwe na akili kama Isaac Newton ndo ujuwe ulichokusudia bali ni akili ndogo tu kama ya mb rema.Ondoa pandiko lako tuKuna mahali nimetaja imani yoyote??
Haihitaji uwe na akili kama Isaac Newton ndo ujuwe ulichokusudia bali ni akili ndogo tu kama ya mb rema.Ondoa pandiko lako tuKuna mahali nimetaja imani yoyote??
Makeup..to Breakup...!!
Ngoja dada yetu yule aje msiompenda
Umeongea kweliI really dislike (let me be polite) mtu anaye-assume kila mwenye jina la ki-islam ni muislam. or V/V. What makes you think Mahmoud ni muislam? unajua kuna watu wamelelewa na waislamu kwa sababu ya uyatima au Changamoto nyinginezo za maisha..wakaamua ku-assume the so called majina ya ki-slamu yet they got nothing to do with that faith? same kwa waKristo? Agustino Ramadhani (former bishop of Zanzibar rings?)..wako wengi sana....tuu
Utaitendea haki nafsi yako na wengine kama utaelimika ujue kwamba dini na majina ya watu havina uhusiano. Ni mapokeo tuu. Katika familia yangu...... Mzee ni Msabato mzuri tuu. Mimi ni RC-(tena mseminary), dada anayenifuata ni Muislamu wa swala tano.......nk. Yet upendo upo wa kutosha tuu. Watu kama nyinyi ndo mnatuletea matatizo na mifarakano kwenye familia na jamii zetu kwa sababu ya assumptions zisizo na mashiko.
Masanja



Wewe tutolee udini wako.. Tangazo linabakiHaihitaji uwe na akili kama Isaac Newton ndo ujuwe ulichokusudia bali ni akili ndogo tu kama ya mb rema.Ondoa pandiko lako tu
Piga hiyo simu uje uchukueNipeleke![]()
![]()
![]()
![]()
Nathani tatizo hapo sio dini au dhehebu la mtu, bali matumizi ya jina la imani fulani kutangaza biashara ni kinyume na imani ya watu wanaotumia jina hilo.Mshana Jr wewe ndo mchochezi una hakika kuwa jamaa ni Muslim