Wanawake huwa tunatamani nini hasa kwa wanaume?

Wanawake huwa tunatamani nini hasa kwa wanaume?

Mimi mwanaume akinivutia mpk moyo ukasema yes nikampenda Alf akanitongozaa nikamkubalia....awe na pesa asiwe Nazo huwa sijalii .......
..
Sasa hapo umesema ukweli manake mtaani ndo mnakuwaga hivo ila jf ndo mnajidai bila pesa hamtutaki
 
mimi naangaliaga pembeni au nafunga macho nikikutana nao.vibamia vitupu .wana roho mbaya kuliko shetani.siangalii mashetani mimi.
Wanaume wote vibamia! Ina maana we una bwawa sasa kama wote hawaenei!
 
Mimi huwa napenda mwanaume mweusi asiwe mfupi wala mrefu awe wa kawaida tuu, asiwe mwembamba wala mnene huwa nikikutana na mwanaume wa aina hiyo naskia raha japo sitageuka kumuangalia ila ntajikuta natabasamu tuu.
Dada we mweupe au mweusi? Niliwahi kuambiwa haya maneno na binti wa kimbulu ila yeye alikuwa mweupe. Nikashangaa anasema wanaume weupe hawapendi!
 
Sasa hapo umesema ukweli manake mtaani ndo mnakuwaga hivo ila jf ndo mnajidai bila pesa hamtutaki
[emoji15] [emoji15] wewe wapi umeona post yangu nimeandika mwanaune bila pesa simkubaliii ......ndiyo km havutii wa nn sasa unamchuna akishtuka anajisepeaa
 
mimi naangaliaga pembeni au nafunga macho nikikutana nao.vibamia vitupu .wana roho mbaya kuliko shetani.siangalii mashetani mimi.
Nina muda mchache humu jf ila kila nikiona post zako huwa nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri

Hivi wewe ushawahi kuugua ugonjwa wa akili?
Maana daah huwa sikuelewi unaandika nini.
 
.........wanaume wengi wao japo siyo wote hupenda kuangalia/kushangaa wadada wenye makalio makubwaa .....wengine wanashangaa yansishia hapo hapo wengine wanatamanii kuwa na na mwanamke wa hivyooo n.k....... Kila mtu kaumbiwa matamanio..... Je kwaupande wetu sisi Madada huwa tunamtamani/ kushangaa mwanamme wa aje kila mtu anakitu chake anachopenda mwenza wake awe nachoo je sisi wadada huwa tunatamani non???.

Nianze na mimi......
....Huwa napenda sana mwanamme mwenye kifua kipana kilicho jengeka vizuuuri na kama nikibahatika kuongea nae angalao sauti iwe nzitooo......

[emoji85] [emoji125]
Napenda mwanaume mwenye maneno matamu matamu anayejua kubembeleza

Pia napenda wanaume wenye mihogo ya haja sio hawa wengine ukikohoa tu kinatoka.
 
Back
Top Bottom