Recent content by potential girl

  1. P

    JamiiForums Tanzania Je wajua?

    Asante sana
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Uchumi wa Tanzania upo matatani
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ukombozi ni kitu cha muhimu sana
  4. P

    JamiiForums Tanzania Changamkia biashara mpya ya mtandao ya Kitanzania mapema ili upate mafanikio makubwa

    Katika kila jambo tujaribu kulichunguza na kuwaza chanya mafanikio yapo popote. No research no right to speak. Biashara inazidi kukua.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Changamkia biashara mpya ya mtandao ya Kitanzania mapema ili upate mafanikio makubwa

    Ni biashara nzuri kwawalioona fursa. Mi nimeiona nimejiunga. na tar 28. 3 Ubungo Plaza uzinduzi nipo. :smile-big:. Asante Rifaroafrica.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 20 wafa ajalini Rufiji

    poleni wafiwa ..mkipata majina mtujuze tuna ndugu zetu , jamaa na rafiki huko.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tafadhali acha kila unachofanya na soma hii, ni muhimu sana

    Jifungue salama mama...kwa jina la yesu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

    Eti magari manne?? Jana huo msafara wa Kenyata umesababisha wamama wa watu wachelewe nyumbani ...hapakuwa na gari la kwenda Tengeru,Ngulelo na kuendelea ..barabara ya kwenda kijenge na Moshono zote zimefungwa. Nikiwa kama muhanga wa tukio la jana sioni kama ana sifa zote hizi alizotajiwa kwa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kubomoa nyumba za halmashauri ya jiji la Arusha linaendelea sasa

    Inasikitisha sana jamani nyumba za kupanga zilivyoza shida Arusha na bei yake ilivo juu. Nimepita maeneo ya Levolosi nimewahurumia sana wahanga.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi, Mbowe, Lipumba, Mangula, Slaa washiriki

    kwanini hivi vyama vya siasa vya upinzani visiungane siku moja kama inawezekana?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mwanaume aliyelelewa na mama peke yake, ni mtu wa aina gani?

    Namshukuru Mungu Mimi na Dada yangu tulilelewa na mama kwa shida Ila hatukupungukiwa kitu chochote. Bahati nzuri mume mtarajiwa kalelewa na mama tu kama Mimi ...ooh anakila sifa njema ya mume mzuri zaidi ya yote anaupendo ule wa kweli na anajali sana. Anajituma na ana ujasiri sana katika...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Nimekuelewa sana Biashara2000 nipo Arusha nahitaji sana kuanza biashara hii naona ni wazo zuri naomba kitabu kama bado kipo
  13. P

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kwa anayejua hisabati kwa hesabu hizi hapa.

    karibu mkuu ya pili inahitaji Venn diagram data n(AπB) =5 n(AUB)=16 n( BπA')=8 n(AuB)'=4 from n(A)+n(B)- n(AnB)=n(AuB) x+13-5=16 X=8 so nA = 3 by taking 8-5 nB=8 n(AnB')=3 n(A'nB')=4 n(A'nB)=8
  14. P

    JamiiForums Tanzania Natamani kuacha Ualimu nijikite kwenye siasa

    Mi naona mkuu una ndoto nzuri lakini usikurupuke tu. kaa kwenye ualimu kwanza huku unajifunza siasa na anza na ngazi ndogo na baadaye utafikia ndoto yako. Usiache kazi ya ualimu wakati hujajipanga kisiasa
  15. P

    JamiiForums Tanzania Je, Saving Foundation loans ni wakweli?!

    mwenyewe nimetamani kufahamu taarifa zao kweli kweli ...maana matapeli wengi siku hizi
Back
Top Bottom