Mwanaume aliyelelewa na mama peke yake, ni mtu wa aina gani?

The problem of most men is being too much relaxed!! Wanachukulia easy sana issue ya kucare. Wengi hawasikilizi mahitaji ya watoto wao, mara nyingi wanaachia wamama kusikiliza hisia za watoto. And this is why watoto wengi hukua na inbuilt sense of mother care more than that of father. Believe me or not mama anapendwa zaidi na watoto kuliko ilivyo kwa baba. Naweza sema wanakuwa na great care watoto wanaolelewa na mother peke yake kuliko aliyekua na baba peke yake.
 
Hua wanakua na roho nzuri sanaaa
Hata mwanaume anaempenda sana mama yake huwa wanajua kupendaaaa
 
Hua wanakua na roho nzuri sanaaa
Hata mwanaume anaempenda sana mama yake huwa wanajua kupendaaaa

nakusapoti my dear,nisham'date mmoja..anajua ku'handle mwanamke jmn,roho iliniuma kuachana nae ila ndo hvo,life goes on
 
nimeona single mothers wakistruggle kulea watoto wao wa kiume peke yao bila baba za hao watoto kuwepo,je unaweza kumjua mwanaume aliyelelewa na mama peke yake?je tabia zake zinakuwaje??anaweza kuwa mwanaume halisi yaani roho ngumu?nachojua watoto wa kiume wanatakiwa kuwa karibu na baba zao ili wakopy mambo kadhaa kwa baba zao,je kwa aliyelelewa na pande zote mbili yaani baba na mama na aliyelelewa na mama peke yake wana tofauti???
Kwakawaida huyu upande wa ndoa ni mume mzuri sana. Huwa karibu na mkewe. Humpenda mkewe kwa dhati. Hayuko tayari kuona ananyanyasika. Huwa karibu na wanae. Humsaidia mkewe kila awapo na nafasi. Ila pia huwa na wivu sana kwa mkewe na binti zake. Kumbuka ameishi na Mama zaidi. Hivyo anakuwa anafeal zaidi wanawake. Actually,wanawake wanaoolewa na wanaume hawa,huenjoy sana hasa kama ni wanawake watulivu. Kama hawajatulia huona kero maaana wanaona wanaume wanakuwa kama wanawachunga vile.I like them!
 
nimeona single mothers wakistruggle kulea watoto wao wa kiume peke yao bila baba za hao watoto kuwepo,je unaweza kumjua mwanaume aliyelelewa na mama peke yake?je tabia zake zinakuwaje??anaweza kuwa mwanaume halisi yaani roho ngumu?nachojua watoto wa kiume wanatakiwa kuwa karibu na baba zao ili wakopy mambo kadhaa kwa baba zao,je kwa aliyelelewa na pande zote mbili yaani baba na mama na aliyelelewa na mama peke yake wana tofauti???
kwani huko mtaaani unakoishi hakuna wa namna hii jaribu kuwafata uwaulize vizuri
 
Nikweli nakubaliana na wewe hii ujumbe wako ni kama unanizungumzia mimi kabisa, kwa kweli mimi ni mtu mwenye kupenda vibaya sana hasa nimpate msichana wa chaguo langu na anayejiheshimu nikwamba nilitokea kumpenda msichana mmoja hivi amenipita age for like one year different,Tatizo lake ni kwamba alijuwa na mpenda basi heshima na dharau zilikuwa ndio zake na nikafikiria kwamba solution hapa ni kuachana belive me or not sijawa na relatioship ya kueleweka since then na yapata almost 6 years sasa na mimi nimetoka kwenye familia niliyopowe mapenzi na uwanagalifu mkubwa na mama...... kwahiyo heshima kwa mama ni kubwa kuliko kitu kingine hapa duniani na ndio malaika wangu.... wishing all the best mama yangu mpenzi love you so much.
 
Namshukuru Mungu, Pia namshukuru mama yangu kwa kunizaa na kunilea yeye mwenyewe! hadi leo hii nimekuwa kijana wa kiume NILIYEKAMILIKA.Sijawahi kuiona sura ya baba yangu tangia nizaliwe hata kwa picha,Na taarifa nilizonazo tayari katangulia mbele za haki! "MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHARA PEMA PEPONI".Nampenda mamaangu na kila siku namuombea maisha marefu yenye afya na furaha tele.
 
Namshukuru Mungu Mimi na Dada yangu tulilelewa na mama kwa shida Ila hatukupungukiwa kitu chochote. Bahati nzuri mume mtarajiwa kalelewa na mama tu kama Mimi ...ooh anakila sifa njema ya mume mzuri zaidi ya yote anaupendo ule wa kweli na anajali sana. Anajituma na ana ujasiri sana katika maisha. Hongera kwa wanawake kwa malezi mazuri. Love you mama mkwe na mama yangu mzazi Mungu awape maisha marefu
 
Hua wanakua na roho nzuri sanaaa
Hata mwanaume anaempenda sana mama yake huwa wanajua kupendaaaa

yani umenigusa sana sababu mim na roho nzuri sana adi watu wote ujua hivo tena toka nikiwa mdogo adi leo.

pia mimi na dada zangu tulilelewa na mama tu baada ya baba kupata nyumba ndogo na kutelekeza familia
 
Honestly, mimi nimekuwa mfano wa Ben Carson ingawa sijafikia level yake lakini nlipofikia nikiangalia nilikotoka ni mafanikio makubwa sana ingwa nimelelewa na poor female peasant ila mama huyu ni mwema sana kwangu na amefanyakazi kubwa sana na kunifanya niwe hapa nilipo. Kwasas nina degree za pili mbili na ninafanyakazi na shirika kubwa kabisa la kimataifa nje ya nch kwa takribani miaka kumi sasa. Ila ninachokifahamu ni kwamba ni kazi ngumu sana kwa single mom kulea hasa mtoto wa kiume, nilikuwa mtundu sana, nilikuwa sitaki shule lakani mama alikuwa jemedari sana na hakunipa hata nafasi ya kufanya yale nisiyoyataka na alihakikisha kwa nguvu zote nasoma na nasoma dini pia, hiyo imenisaidia sana.

asante mamaangu mpendwa kwa junifikisha hapa nilipo na mimi naitwa BABA. samahani kupitia upendo wa mama yangu umenifanya kuwapenda wanawake wakubwa kwa wadogo.mama uhimidiwe.
 
nimeona single mothers wakistruggle kulea watoto wao wa kiume peke yao bila baba za hao watoto kuwepo,je unaweza kumjua mwanaume aliyelelewa na mama peke yake?je tabia zake zinakuwaje??anaweza kuwa mwanaume halisi yaani roho ngumu?nachojua watoto wa kiume wanatakiwa kuwa karibu na baba zao ili wakopy mambo kadhaa kwa baba zao,je kwa aliyelelewa na pande zote mbili yaani baba na mama na aliyelelewa na mama peke yake wana tofauti???

Mimi Namshukuru sana bibi yangu mpendwa(r.i.p) kwa kunipa malezi bora na imara.
Nipo hivi nilivyo kwasababu ya juhudi zake.
Asante sana Bibi.
 
Wanaume waliolelewa na upande wa mama kwa asilimia kubwa ni mizigo tu ni mara chache kumkuta anaweza kupambana ni waoga legelege wapenda starehe na wasumbufu hao usipime kukutana nae!
Mzazi wa namna hiyo anapaswa kabisa kupimwa akili zake Milembe, Baba ambaye mimi nakubali asamehewe ni hhawa wa dizaini waliopena ujauzito wakiwa shule na wote kiumri wako under 20 na isitoshe mwanaume hana kipato naye anategemea pesa za kupewa, huyu anaweza kusamehewa lakini jitu zima na akili zake na kipato chake unatelekeza mtoto!? hapa huwezi kuwa na akili timamu.

Haiingii akilini mimi nilikuwa na Girlfriend nikiwa shule lakini akaja kuolewa na mtu mwingine kwa sababu sikuwa tayari kimaisha na nilikuwa napiga deiwaka ughaibuni, lakini mpaka leo akiwa na shida ya pesa huwa namsaidia kama ninazo licha ya kwamba ana mume wake na mimi sifanyi naye kabisa ngono, ndio nithubutu kumtelekeza mtoto wangu mwenyewe?
 
Wanaume waliolelewa na upande wa mama kwa asilimia kubwa ni mizigo tu ni mara chache kumkuta anaweza kupambana ni waoga legelege wapenda starehe na wasumbufu hao usipime kukutana nae!

Hili nalo neno, kwa kupenda nawasifu ila pia wengi wao wanakuwa wadekaji sana wana tabia mbaya most of them sio msaada sana hawapo ngangari kivile...hii inategemea na malezi aliyopewa na huyo mama
 
Pitia comment nying hapa utaona,wengi wanaunga mkono malezi mazuri ambayo wanaume wamepata toka kwa mama tu.NI KWELI NAMI NAKUBALI (nami nimelelewa malezi hayo). LAKIN kumbuka malezi tuliyo pata sisi (wanaume wa leo) toka kwa mama zetu ni TOFAUTI SANA ma malezi wanayopata watoto wa kiume wa miaka hii toka kwa single mothers.wala haiitaji mtabiri kuwatabiria namna watakavyo kuwa kwan malezi wanayo pata sasa toka kwa kina mama (hawana sifa na mamazetu) utajua namna watakavyo kuwa wanaume legelege,tegemezi kifikra,kimaamuzi,wavivu,kukosa ujasiri na zaidi kuiga tabia za kikekike
 
Back
Top Bottom