Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

Hiki ndicho kizazi kinachohitajika Afrika wa sasa. Viongozi wengi wa Afrika wamekuwa wakiiga maisha ya viongozi wa Nchi zilizoendelea na kuishia kufilisi nchi zao. Wewe unakua Rais unaunda baraza la mawaziri 58 unaanzisha shule ya mawaziri? Unakuwa na msafara wa magari zaidi ya 20 wewe marehemu? Mambo ya ajabu sana. Unakuwa na waziri wa Mambo ya nchi lakini wewe unasafiri kuliko hata waziri wa mambo ya nje, si mtu ajitangaze tu kuwa ni rais na pia ni waziri wa mambo ya nje?
Namkumbuka huyu jamaa alivyokuwa anakata Gongo maeneo ya Msewe, Ubungo. Sishangai.
 
inawezekana ni matunda ya ICC maana unapobanwa ni rahisi kutafuta simpathy, ni mawazo yangu sina background ya huyu mtu, but lesson is there
 
Sijui mnacheka nini wakati mimi nimeuliza tu kuwa NI HUYU WA KWETU?
 
Eti magari manne?? Jana huo msafara wa Kenyata umesababisha wamama wa watu wachelewe nyumbani ...hapakuwa na gari la kwenda Tengeru,Ngulelo na kuendelea ..barabara ya kwenda kijenge na Moshono zote zimefungwa. Nikiwa kama muhanga wa tukio la jana sioni kama ana sifa zote hizi alizotajiwa kwa kweli. Hata kama ni magari ya Tanzania yalimpokea lakini sio kuleta foleni kiasi kile cha jana. Inalindwa roho moja wakati wengine 100 hawajui hata watalala wapi..
 
Nakumbuku Uhuru Kenyatta alipokuwa Waziri wa Fedha alitoa mswada wa bajeti ambao ulikataza serikali kununua magari ya maofisa yenye uwezo wa injini zaidi ya lita 2 (au 3, sikumbuki vizuri). Naomba walio karibu watujuze kama hii sheria bado ipo.

Nilitembelea mgonjwa Ocean Road Cancer Institute nikakuta wanalazwa wawili wawili kwenye vitanda. Katika hali ya umasikini oliokithiri kama huo, sio wenda wazimu kwa viongozi kutembea na misafara yenye magari yenye jumla ya thamani ya shilingi bilioni nzima? Maana magari 20 ya thamani ya milioni angalau 50 kila moja tayari zinafika bilioni!

Tunatawaliwa na malimbukeni yenye uchu wa fahari na majivuno ya kutisha!
 
unajua kuna watu wengine wengi sana hapa kwetu wamefumba macho, hata wakiambiwa fumbua macho kumeshakucha uone ukweli hataki...hivi kuna hasiyeona mambo ya ubadhilifu yanayotendeka wazi wazi humu nchini na kikundi cha watu wachache ambao wengine unakuta kila awamu ya serikali wamo tu ili kulinda masilahi yao na siri zisibumbuluke kwa wayafanyayo???? wanatamani bora wazeeke humo humo hata ikibidi wafie maofisini kuliko kuachia ngazi....acheni izo bwana!!!!!! kagame na uhuru onyesheni demo...
 
Nafikiri mnaona faida za kumchagua mtu confident na mwenye hela zake! More reasons for selecting Edo.
 
ni mzalendo n mwenye nia kwa nchi yake. safi sana.
bwabwabwaaaaaaaaaaaaaa, we mama mbavu zanguuuuuu we mama mbavu zanguuuuu ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa

A plane was about to crash and
there were only four parachutes on
the plane. Meanwhile there were
five people on it. The first person,
Lionel Messi, said, "I'm the world's
best footballer right now, I cant die
now!"
So he took one of the parachutes
and left. The second person, Bill
Gates, said, "I'm the richest man on
Earth, I can't die now, I'm needed in
the world!"
So he took the second parachute
and left. The third was the
Tanzanian President and he said,
"I'm the smartest President in the
world, so I cant die now, my people
still need me!"
So he took one and left.
Then it was left with the Pope and a
little school girl. The Pope said to
the little girl, "Take the last one, I'll
sacrifice my life for you."
The little girl replied, "No need for
that, There are two parachutes left."
The pope asked her, "How come?"
The little girl replied, "The
Tanzanian President took my school
bag." Ndio Huyu wa kwetu???
 
A plane was about to crash and
there were only four parachutes on
the plane. Meanwhile there were
five people on it. The first person,
Lionel Messi, said, "I'm the world's
best footballer right now, I cant die
now!"
So he took one of the parachutes
and left. The second person, Bill
Gates, said, "I'm the richest man on
Earth, I can't die now, I'm needed in
the world!"
So he took the second parachute
and left. The third was the
Tanzanian President and he said,
"I'm the smartest President in the
world, so I cant die now, my people
still need me!"
So he took one and left.
Then it was left with the Pope and a
little school girl. The Pope said to
the little girl, "Take the last one, I'll
sacrifice my life for you."
The little girl replied, "No need for
that, There are two parachutes left."
The pope asked her, "How come?"
The little girl replied, "The
Tanzanian President took my school
bag." Ndio Huyu wa kwetu???


Ha ha haaaaaa! JF ni burudani tosha!
 
Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.

KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane (mengine ni ya serikali ya tanzania yaliyoenda kumpokea) na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.

Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.

Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.

Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.


Kamanda acha uongo kuhusu msafara. Jana nimeshuhudia CITIZEN TV ya Kenya wakionyesha msafara wa Kenyatta toka Kenya kuja Tanzania ukiwa na Magari zaidi ya 40 yametapakaa barabara nzima.

Kibaya zaidi alisindikizwa na Makamo wake yaani Ruto hadi mpakani na magari lukuki. Jana Wakenya wamepiga mayowe wakisema kwa nini asingekuja kwa ndege. Angalia hapa Kamanda

President Kenyatta's Road Trip to Arusha - YouTube
 
Mkuu sixgates a.k.a Mageti sita.
Umekuwa kimya sana tokea jamaa awe Mbunge wa Mahakama rasmi
 
Last edited by a moderator:
A plane was about to crash and
there were only four parachutes on
the plane. Meanwhile there were
five people on it. The first person,
Lionel Messi, said, "I'm the world's
best footballer right now, I cant die
now!"
So he took one of the parachutes
and left. The second person, Bill
Gates, said, "I'm the richest man on
Earth, I can't die now, I'm needed in
the world!"
So he took the second parachute
and left. The third was the
Tanzanian President and he said,
"I'm the smartest President in the
world, so I cant die now, my people
still need me!"
So he took one and left.
Then it was left with the Pope and a
little school girl. The Pope said to
the little girl, "Take the last one, I'll
sacrifice my life for you."
The little girl replied, "No need for
that, There are two parachutes left."
The pope asked her, "How come?"
The little girl replied, "The
Tanzanian President took my school
bag." Ndio Huyu wa kwetu???

Duh!Mkuu nimecheka hadi raia wenzangu kwenye basi wamenishangaa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ridhiwani anaweza ngoja apewe chalinze pale! Na yy si mtoto wa rais ata act kama mtoto wa rais wa kenya
 
na wewe umefumbwa macho na huyo fisadi kushusha 20% ya mshahara wake ili msioji ardhi aliyopora, na unajua kwa siku hiyo ardhi ambayo ndo uchumi wenyewe inamuingizia mshahara wake mara ngapi? jifunze kupembua pumba na mchele usiishi kwa kulishwa mamneno tumia mda wako vizuri kujifunza kijana usibweteke.

Acha uchuro, ardhi ya familia ya Kenyata ilipatikana hata kabla ya huyu bw. mdogo hajazaliwa, so huwezi kumwita fisadi. Tuna mhukumu kwa matendo yake na anaonyesha ni tofauti na viongozi wengi wa africa - including huyu wa kwetu anayeend shambani kwake chalinze na msafara wa magari 20.
 
Back
Top Bottom