Je, Saving Foundation loans ni wakweli?!

BabaTina

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
429
1,000
Guys kuna mtu yoyote anaifahamu hii taasisi? Maake nasikia inato mikopo na kwa njia ya mobile ndani ya dk45, kama kuna mtu anaifahamu in details anijuze tafadhali?

Wapka.mobi
 
mwakibete

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,995
2,000
At fist hilo tangazo walilileta km zitto kabwe foundation. Niliwasiliana na Tundu lisu akasema hajasikia kitu kama icho labda nimpigie zito mwenyewe bt sikuwa na namba ya zito mahali nilipokuwepo.
Waliweka namba zilizosajiliwa kwa jina la zito.
Hili ni zao la wasomi kutokuwa na kazi, tutegemee mengi zaidi.
 
Asante kwa msaada wako mkubwa sana...hakika kwenye hiyo red hapo umepigilia msumali wa mwisho
 
Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
1,888
2,000
hawa watu wanapenda kujithbitisha eti wamesajiliwa na tra,wakat si wanaosajiri mabenk na fund za mikopo tra,pia hawana matangazo kweny web ,web imekaa kitapel,lugha za kihuni.eti'sponsired by gvt and powerd by tigo and registered by tra,wakat juu wameandk voda na tigo,pia hakuna jina la zito
 
cha'

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
466
195
Mkopo unatolewa bila kumtathmini mteja, hii kitu haiwezekani, kama inawezekana shirika litakufa mudj si mrefu.
Kuna kaharufu fulani, ngoja niangalie kama kuna panya kajifia darini au ni utapeli wa shirika hili.
 
uyui kwetu

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
1,049
2,000
hakuna cha mikopo hapo ni utapeli wameanza siku nyingi wakitumia itv feki. ridhiwani feki zitto kabwe feki nk.
 
BRAVO 2 ZERO

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
1,039
2,000
Mkuu wamenipigia simu sasa hivi wakitumia namba 0713263397 na kuniambia nitume hela au waifute fomu yangu ya application. Nimewaambia waifute maana bado sijawaelewa vizuri.

Mkuu hamna pesa iliyosimple kiivyo,hawa jamaa dawa yao ni kutimba ofisini kwao
 
BRAVO 2 ZERO

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
1,039
2,000
Mkuu wamenipigia simu sasa hivi wakitumia namba 0713263397 na kuniambia nitume hela au waifute fomu yangu ya application. Nimewaambia waifute maana bado sijawaelewa vizuri.

Hebu jaribu kupiga hiyo namba waliokupigia uone kitachojiri
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom