Hakuna waafrika walouliwa na waarabu huko Zanzibar ndio maana huwezi kupata video yake. Kwa mujibu wa takwimu za CIA, kati ya watu 15,000 hadi 20,000 waliuwawa kwa kuchinjwa, kutiwa moto, kuzamishwa baharini na kupigwa risasi katika wiki za mwanzo za mapinduzi ya Zanzibar. Ukitaka maelezo...