Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,675
Lima shamba ukishavuna utapata nauli ya kuja Dsm kisha tuone utakuwa na msimamo gani? Sasa hivi upo kijijini huko umepauka na udongo mwekundu kama kituko utaongea hayo. Karibu Dar mji wa wajanja.
you speak like The Don and yet you call yourself Mnyanyaswaji!anyway kama unanyanyaswa na mkeo ni bora kabisa lakini kama unanyanyaswa na maisha unahitaji kujitambua!