IRAN yajenga viwanda vya matrector Zimbabwe na Uganda

KABAVAKO

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
229
195
Kwa mujibu wa taarifa zilizotangazwa na television ya Jamhuri ya kiislamu ya Iran: press tv. Nchi hiyo imeanza kutengeneza matrector katika nchi hizo kama sehemu ya mchango wake katika kupambana na njaa barani Africa. Baadhi ya watu waliotumia matrector hayo wanasema kuwa yanaviwango vya hali ya juu, ni imara, madhubuti na yenye uwezo mkubwa wa kulima ardhi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom