IPad 32GB | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IPad 32GB

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mnandi, Jan 25, 2012.

 1. Mnandi

  Mnandi Senior Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  iPad 32GB (WiFi + 3G), firmware 5.0.1 application zaidi ya 70 kwa bei ndogo. ni nzuri kwa matumizi ya ofisini, emailing, gaming, social networking na vilevile ni unlocked inaingiza line mitandao yote. nimeitumia ofisini miezi miwili nanusu bado ipo safi sana. bei 720,000/= nitafute (0788745656 au 0764852674), Dar es Salaam...
  [​IMG][​IMG]

  [​IMG][​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  yakichina?
   
 3. DullyM

  DullyM Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  dah kumbe hivi vidude vina bei kwa mtindo huu!!?
   
 4. F

  Fofader JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Ipad 1 au 2 mkuu?
   
 5. Mnandi

  Mnandi Senior Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Original Apple Product from California, au kwavile bei ipo chini sana,,
   
 6. Mnandi

  Mnandi Senior Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ipad 1, 2 bei yake ipo juu sana..
   
 7. Mnandi

  Mnandi Senior Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  dukani unanunua 1.2mil ipad 1 tena ya 16GB,,hii ni almost free
   
 8. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Laki 5 je mkuu?
   
 9. Mnandi

  Mnandi Senior Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  dah' ongeza tatu nanusu..
   
 10. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Washwahili bana ukiweka bei kubwa shida,ukiweka bei ndogo mchina,jamani hili ni soko huria bei inategemea na hitaji,je huenda huyu ndugu anauza bei ndogo ili apate hela hiyo aongezee na nyingine anunue kitu kingine,au pia ana shida ya ghafla na kimfaacho mtu ,ni kitu chake,pia huenda kakichoka tu.kuna mambo mengi au bado tuna imani zile za baba zangu miaka ya 40 ambapo ubora wa kitu unathamanisha na bei yake?kwa taarifa tu hebu muenda yale maduka ya pale Mlimani yanayouza Laptops linganisha na bei zake kwa model hizo hizo na zile zinazouzwa City Centre(zote ni genuine na zina warrant)hapo ndio mjue utofauti wa bei huchangiwa na vitu vingi na zaidi na mwenye kitu ndie anajua auze kitu chake kwa bei gani
   
 11. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Utazikuta K-Print mpya kwa bei hiyo hiyo. Au imeinunuwa pale? Bei yako ya mwisho?
   
 12. Mnandi

  Mnandi Senior Member

  #12
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni kweli kabisa unayosema, nina deni nadaiwa sasa mali ya kuuza isiyo na umuhimu sana ni hiyo ndo maana bei ipo chini sana watu hawajagundua,,,
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  K-Print iko maeneo gani mkuu, mimi pia nahitaji sana hii kitu. Na je, wanauza Genuine?
  Thanx
   
 14. Mnandi

  Mnandi Senior Member

  #14
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  k-print ni wapi wanauza rahisi hivyo, nami nielekeze niende sshv,,,
   
 15. p

  popobaawa Member

  #15
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 19, 2007
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ina 3G+WiFi?
   
 16. Mnandi

  Mnandi Senior Member

  #16
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  inayo 3G + WiFi,,,
   
 17. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  mkuu, 750k unachukua?
   
 18. Mnandi

  Mnandi Senior Member

  #18
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  least 850k mkuu, ipo na wireless keyboard yake na case unapata,,
   
 19. ChelseaBlue

  ChelseaBlue Senior Member

  #19
  Jan 31, 2012
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hii IPad bado ipo? kama ipo niPM
   
 20. Mnandi

  Mnandi Senior Member

  #20
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  720,000/= unaipata leo hii na accessories zake..
   
Loading...