Hizi tarrif za Airtel zikoje? Naomba ufafanuzi tafadhali.

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
635
Najua Airtel mnapita pita humu, naomba ufafanuzi wa malipo kwa mfumo wa Time Based Bundle.
Kwa mfano, ikiwa nitaweka bundle ya Tsh 10000/= nitatumia unlimited au ikifikia muda fulani itaanza kukata kwa rate za kawaida?

Ufafanuzi tafadhali....
 
Back
Top Bottom