Recent content by pogba10

  1. pogba10

    Mgomo: Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamekesha usiku wakilalamikia Mikopo

    Huu ndiyo muda wa kujichukulia vibinti vya chuo, ni mwendo wa kula papuchi tu... ! Magufuli hebu kaza hapa kazi tu..
  2. pogba10

    Msaada: Nikiweka TBC 1 Mwanangu analia sana

    Atakuwa ana element za Ukawa....lazima.
  3. pogba10

    St John Pharmacy, 90 kati ya 130 hatuna mkopo

    Tafuta plan B serikali ina mambo meng ya kufanya pamoja na kuvipatia vijiji vyote 50mil.. Hapa kazi tu
  4. pogba10

    Kwanini UKAWA itashinda kesi ya umeya Kinondoni

    Ccm wameshinda umeya wa kinondoni kwa bao la mkono kama tambwe na kuwafanya ukawa kususia uchaguzi na kuvunja viti haha
  5. pogba10

    Nani mkali wa singeli hapa Tanzania?

    Kuna jamaa anaitwa virus na dulla makabila hawa jamaa ndio wapo tait kwangu
  6. pogba10

    Kwanini bodaboda wengi wanapenda kuning'iniza viatu?

    wanaofanya ivyo weng wao ni panya road
  7. pogba10

    Hongera Mh. January Makamba

    Ina maana mtoto akihama shule, atahama na mche wake? Nadhan analeta siasa za majalalani
  8. pogba10

    Nini kimewakumba Halotel?

    MB kuzishusha daa wamenikwaza sana.
  9. pogba10

    Tukio gani la football liliwahi kukutoa machozi

    Arsenal wenger miaka zaidi ya minane bila taji la EPL daa
  10. pogba10

    Tuwe makini na juice hizi jamani{ Juice za Azam}

    Kuna watu inabidi wawajibishwe kwa hili kwani ni uzembe mkubwa! Tarehe husika walikuwa kazini inabidi watumbuliwe wamelipatia doa kubwa kampuni
  11. pogba10

    Mikopo ya Benki imeniadhiri kisaikolojia!

    Hela za mabenki ni tamuuuuuuu kama mwili wa mwenzio
  12. pogba10

    Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

    Utakula iPhone 6... wekaza kwenye ardhi please... acha utoto wa kukopi na kupesti
  13. pogba10

    Kupigwa kwa Mwanafunzi: Je, Mawaziri wetu hawana kazi?

    Nami nimelifikiria sana hili yaan tunakurupuka sana kimaamuzi
Back
Top Bottom