Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
dooooooooooooooh
Alafu singeli za sasa zimetilewa sana na mashemeji, maana hit nyingi za singeli zima ushemeji!Kiboko yao ni Msaga sumu lakini walio ijua singeli kupitia haina ushemeji watasema Man fongo
Dogo niggaaliyeimba mida ya kubeti ni nani?


Msaga sumu haimbi kisingeli,anaimba style tofautiMsaga sumu ndio mambo yote hapo wengine hao ni wanafwata njia ambayo ameshaianzisha msaga sumu. Halafu ni macho yangu au mbona waimbaji wenyewe karibia wote ni kama vile wanatumia jani la jamaica