Kwanini UKAWA itashinda kesi ya umeya Kinondoni

Kwanini UKAWA itashinda kesi ya umeya Kinondoni

Mimi swali langu ni dogo tu,kama sheria inasema ni masaa 72 mjulishwe,na wao walijulishwa masaa 24 kabla,ilikuwaje wakaenda kwenye uchaguzi huo?? Hayo ndiyo yale ya kusema tume haikuwa huru harafu kwenye uchaguzi unashiriki,sasa unashiriki vipi kwenye kitu kilicho batili?
Ushaambiwa ukawa haijashiriki,ccm wenyewe ndio wamechaguana.
 
Kweli mashetani bado wapo ssm ivi mnavunja sheria makusudi ni aibu sana
 
Mimi swali langu ni dogo tu,kama sheria inasema ni masaa 72 mjulishwe,na wao walijulishwa masaa 24 kabla,ilikuwaje wakaenda kwenye uchaguzi huo?? Hayo ndiyo yale ya kusema tume haikuwa huru harafu kwenye uchaguzi unashiriki,sasa unashiriki vipi kwenye kitu kilicho batili?

Acha kujidhalilisha.
Aliyekwambia UKAWA walishiriki kwenye huu Uchaguzi BATILI ni nani?Kama ulisikiliza matokeo ya Meya na N/Meya wa Kinondoni ni hivi:
Umeya :"1. CCM : 18 UKAWA: 00
N/Meya: 2. CCM; 18. UKAWA: 00
Kwa namba hizi na matokeo haya uko wapi ushiriki wa UKAWA hapa? Kila mtu mwenye akili timamu anajua kabisa CCM wamefanya uhuni wa kipuuzi!!!!!!!!!!
 
Labda sijui hesabu. Endapo wajumbe waliopaswa in 34 lakini CDM wakatoka wakabaki 18 was CCM hata wangebaki hao was CDM kumbe CCM wangeshinda maana walikuwa 18. Kumbe CDM walijitoa wakijua watashindwa
Kweli Mungu kawanyima ccm akili na maarifa nawe ni mmoja wao.
Soma Thread uelewe vizuri kiilaza mwakilishi
 
Hivi kwanini ccm wasimgeukie Mungu na kutubu pamoja na Kuungama dhambi zao za kuwafikisha Watz. hapa tulipo ambapo wengi wa Watz. hata mlo mmoja ni msamiati kwao ilikhali nchi ikibarikiwa maziwa na asali????
Leo ninamuona M/Kiti wa ccm Dsm ambaye amelaaniwa na Mungu pamoja na viumbe vyoye vya ardhini na majini akiongea ITV kwenye habari utumbo mtupu na ni Mzee amekubali kifa na dhambi zake zote kisa Tumbo anaongea utumbo mtupu.
 
Hapo tunaomba tufafanulieni kitu kimoja katika hao madiwani 20 CUF wako wangapi na CHADEMA wangapi maana nina hakika hii UKAWA siyo CHAMA CHA SIASA na makubaliano yao hayapo kikatiba...nadhani pana kueleweshana hapa.
 
Tatizo la pro-Chadema JF kila mmoja anajifanya mwanasheria.

Chadema wakishindwa kesi mtasema mahakama wamepewa maagizo kutoka juu.

Chadema wakishinda mtasema Tundu Lissu kiboko aipiga chini serikali.

Huyo tutamshinda mahakamani na nje tutamkabili kwa kishindo.
 
Hapo tunaomba tufafanulieni kitu kimoja katika hao madiwani 20 CUF wako wangapi na CHADEMA wangapi maana nina hakika hii UKAWA siyo CHAMA CHA SIASA na makubaliano yao hayapo kikatiba...nadhani pana kueleweshana hapa.
soma majibu hapo unaweza kuelewa
Kweli hujui hesabu kama hao mafisiemu wenzako.
Jumla ya Madiwani wa UKAWA NI 20 na jumla ya Madiwani wa CCM NI 14. Tofauti hapa ni namba 6. Ili CCM washinde kiti cha Umeya Kinondoni imewalazimu watafute Mamluki 4 wasio halali (Ndalichako,Mahiga, Mbarawa na Tulia) kumbuka wote hawa ni WATEULE WA RAIS SI MADIWANI WA KUCHAGULIWA LAKINI PIA HAWATOKI KINONDONI!
Baada ya mamluki hawa 4 kupatikana CCM wakaangalia tena kati ya 20 wa UKAWA wahakikishe wanawazuia 2 au zaidi ili namba zilingane au CCM wazidi ili kuiwezesha ishinde na ndicho kilichofanyika hadi kupelekea UKAWA kujititoa!
CCM TUNAOMBA MUWACHE UPUUZI HUU ILI DEMOKRASIA KCHUKUE MKONDO!
 
Mimi swali langu ni dogo tu,kama sheria inasema ni masaa 72 mjulishwe,na wao walijulishwa masaa 24 kabla,ilikuwaje wakaenda kwenye uchaguzi huo?? Hayo ndiyo yale ya kusema tume haikuwa huru harafu kwenye uchaguzi unashiriki,sasa unashiriki vipi kwenye kitu kilicho batili?
Wao wameamua kufanya uhuni tutadili nao mahakamani kuanzia kesho asubuhi baada a hatua zote za kisheria kukamilika.
 
hawa jamaa wakigundua tu wanashindwa basi huja na visingizio vingi pamoja na kususa...mbona wa jiji mlitamka wazi hasusi MTU !?kwa nn huu mlisusa!?
 
Kama mlishindwa kwny Umeya wa Arusha wakat wa Jakaya mtawez kuutetea Umeya wa Kinondoni wakat wa Full kauzu, full Bandidu full Baba Ubaya?
Kwahiyo nategemea Mahakama itangaze uchaguzi wa jana kuwa batili, na kuitisha upya uchaguzi halali, (in absence ya wajumbe wanne feki ambao ni wateule wa Rais). Kwahiyo kati ya wajumbe 18 wa CCM toa wanne (feki), wanabaki 14.

Mahakama pia nategemea itawaruhusu wajumbe halali wa Halmashauri ya Kinondoni walioondolewa bila sababu zozote za msingi waweze kushiriki vikao vya Halmashauri hiyo. Wajumbe hao ni wabunge wawili wa UKAWA (viti maalum) na madiwani wawili (viti maalumu).
 
Ccm wameshinda umeya wa kinondoni kwa bao la mkono kama tambwe na kuwafanya ukawa kususia uchaguzi na kuvunja viti haha
 
Kama hizi ndo hoja za upinzani za kwenda nazo mahakamani basi na waende. Tutawapiga kama wamesimama. Bahati nzuri ni kwamba CCM hatupendagi porojo. Hapa Kazi Tu
 
hawa jamaa wakigundua tu wanashindwa basi huja na visingizio vingi pamoja na kususa...mbona wa jiji mlitamka wazi hasusi MTU !?kwa nn huu mlisusa!?

#Mosi: Akidi ya kikao haikutimia. Sheria inataka 2/3 ya wajumbe wote kuhudhuria na kusaini mahudhurio ndipo mkutano upate uhalali wa kufanyika. Wajumbe HALALI wa mkutano huo ni 34, kwa hiyo 2/3 ni wajumbe 23. CCM ilikua na wajumbe 18 (kati yao walikuwepo wasio halali). Hata hivyo iadi ya wajumbe 18 wa CCM haikutimiza akidi, kwa sababu wajumbe wa UKAWA hawakusaini mahudhurio. Kwahiyo mkutano wa jana ni batili. Mahakamani CCM hawawezi kujitetea ktk hili. #Moja_bila.!
 
Kama hizi ndo hoja za upinzani za kwenda nazo mahakamani basi na waende. Tutawapiga kama wamesimama. Bahati nzuri ni kwamba CCM hatupendagi porojo. Hapa Kazi Tu
Mosi: Akidi ya kikao haikutimia. Sheria inataka 2/3 ya wajumbe wote kuhudhuria na kusaini mahudhurio ndipo mkutano upate uhalali wa kufanyika. Wajumbe HALALI wa mkutano huo ni 34, kwa hiyo 2/3 ni wajumbe 23. CCM ilikua na wajumbe 18 (kati yao walikuwepo wasio halali). Hata hivyo iadi ya wajumbe 18 wa CCM haikutimiza akidi, kwa sababu wajumbe wa UKAWA hawakusaini mahudhurio. Kwahiyo mkutano wa jana ni batili. Mahakamani CCM hawawezi kujitetea ktk hili. #Moja_bila.!
 
Kelele za nini sasa, si tusubiri mshinde kesi hiyo au
 
Back
Top Bottom