umeongea kweli kabisa yaani wanajikunja mpaka mabega na miguu wanaibana...ni vyema waachane na uo uhuni usiokua na faidaMkuu hiyo ni fashion
Tena kuna mikao dereva anajikunja kama kuku wa kubanika wanaita kimbaumbau
Au anaweka miguu kama anacheza viduku
Wakati mwinyine akiwa anaingiza Gia anatupia na mkono kama anafukuza au anachota kitu
Ukiwauliza wenyewe wanajua tena wana mpaka majina yake kwa ufupi ni ujinga wanasababisha sana ajali
View attachment 420253 habarini,jamani mimi nimekua na maswali tofauti juu ya ni kwanini boda boda wengi hasa wa mtaani wanapenda kuendesha huku wameninginiza kiatu kama kinataka kuanguka ila bado sijapata jibu,hivi ni swags tu ama kuna kitu inawasaidia maana mmmhhh ni wengi sana wanaopenda kufanya hvyo...tupia maoni yako juu ya hili..
Wauza unga, walianza kunin'giniza juu ya nguzo ya umeme ss wanasambaza wakati wote sio kuwa na kituo maalum.