Mikopo ya Benki imeniadhiri kisaikolojia!

Mikopo ya Benki imeniadhiri kisaikolojia!

Pole mkuu, kikubwa kwako ni kukubali hali halisi uliyonayo, pia omba MUNGU na usisahau kutoa sadaka
 
mkiambiwa mikopo ni dhambi na haramu hamuelewi pole sana mkuu ila fata maagizo ya mwenyenzi Mungu
 
Mkuu tatizo sio Mikopo baki ni kubadilika kwa technologia kumbuka kama ulivyosema kabla flat screen,flasha na vinginevyo havijaja ulikuwa una uza na mambo yalikuwa yanakwenda fresh! sema mistake uliyoifanya na kutosoma mazingira haraka ili uendane na wakati.ni naamini kama ungekuwa unafanya market reserch ya biashara yako lazima mabadiliko hayo unheyatambua mapema!.
 
mkiambiwa mikopo ni dhambi na haramu hamuelewi pole sana mkuu ila fata maagizo ya mwenyenzi Mungu

Yap ,,mikopo Ni nuksi ,,,,MUNGU anakuambia hela ya riba hata kama itakufikisha kwenye level fulani ya juu,, but mwisho wa siku lazima uje U bankrupt kwa haraka sana,,,,mi Mke wangu alikopa hela akanunua bajaj mbili,, zote ziliibiwa uwezi amini,,hapa namuonea huruma namsaidia kulipa deni,, riba ni nuksi kabisa
 
Mkuu kwanini uliamua kuwapa bank wauze wenyewe nyumba?,nadhani ungeuza mwenyewe ungeuza bei nzuri na kupunguza makali ya mkopo!...pole mkuu ndo ukubwa.
 
Ila mkuu ukiinuka tena usiache kukopa benki, huko ndo mpango mzima! OPM kwenye biashara ndo inawatoa watu, hakuna aliyenyanyuka kwa kutumia fedha zake mwenyewe!
 
Hapa najua kinachokuumiza ni maneno ya waswahili...maana furaha yao kubwa ni kuona mtu kafulia!!
 
Ila mkuu ukiinuka tena usiache kukopa benki, huko ndo mpango mzima! OPM kwenye biashara ndo inawatoa watu, hakuna aliyenyanyuka kwa kutumia fedha zake mwenyewe!
Dah! Ila kukopa tena noma!
Wakimalizia ka kibanda kalikobaki nakufa kabisa
 
Dah! Ila kukopa tena noma!
Wakimalizia ka kibanda kalikobaki nakufa kabisa
Pole kiongozi wangu wala usihofu, hayo ni mapito tu! Wafanyabiashara wengi unaowaona hawakutoka kwa fedha yao ya mfukoni, walitumia fedha za watu wengine! Hasa na sasa hivi hata yale magumashi yetu ya kazini hayapo tena inakuwa ngumu sana kutoka kwa fedha ya mshahara tu!
 
Pole sana Mkuu pia hongera kwa kujijua upo katika hali ya msongo maana watu wengine hupoteza uhai kabisa,kuna msemo unasema kumjua adui yako ni nusu ya ushindi
Asante!
Nashukuru pia kwa ushauri, ila naamka nafungua nikiwa silias, hoja hizo zinazojitokeza nazo najaribu kukabiliana nazo na kuamua kuweka hapa hii stori ni pamoja na kutaka kushea na watu wanipe mawazo!
 
Pole sana chief,

Pia ulimwengu wa biashara unahitaji umakini na ubunifu sana ili kwenda na wakati.

Poa vyema kuwa na biashara mbadala hata mbili incase ilitokea moja kuyumba basi nyingine inasimamia shoo vilivyo kufidia kuyumba kwa biashara nyingine.

Miaka 26 ya uzoefu ktk biashara naamini waweza amka tena
Ila yaonekana haukuwa na mausiano mazuri na watu wengine.

Ni vyema saidia wengine kama umefanikiwa ikitokea umepata msukosuko unaowatu uliowajenga ambao wanaweza kukushika mkono.

Mafanikio hayakumbatiwi pekee bali huwa yanagawanywa kwa wengine maana hii dunia imeajaa majanga tusiyoyatarajia.

displayname
 
Ndugu yangu hata ulichonacho sasa kuna ambao hawana wanataman kua nacho one day so please be calm ,panga mashambulizi pambana sababu maisha hayasimama either uwin au yakushinde ,so kama unataka kuwin zidisha mapambano kama unataka kulose poteza hope ,wengi bado tunaishi nyumba za kupamba tunawaza nikipata kibanda tu basi nimewin maisha ,ndugu unakibanda una biashara na una afya hiyo tosha kabisa kuendelea kukusimamisha wewe kuwa wewe ,never lose hope maisha ni wewe mwenyewe kamwe usimtazame mwengine ,be strong pambana mpaka kieleweke pia kumbuka kumuomba sana Mungu ndio comfort kubwa ya wanadamu ,tumia muda wako wa ziada kukumbuka mazuri yako na si mabaya yako pia fanya vitu vinavyokupa furaha and tafuta unaemuamin huenda akawa mama,baba,ndugu,rafiki,mke etc kaa nae chini mueleze mambo yako na yapi unawaza kuyafanya sharing itakupa comfort sana ila hakikisha tu unaongea na mtu sahihi sio kueleza kwa kila mtu utakuza tatizo
 
mkuu umesema ulijenga vibanda viwili?!! kimoja umewaachia benki wajiuzie ili umalize deni lako sawa?!! kwanza ulifanya vizuri kuhakikisha kipato unachokipata sehemu ya kile uliamua kujenga kibanda(asset) ambacho ndio kimeficha aibu yako kwa sehemu.

lkn bado unachance ya kuanza tena,km bado unajiamini,maana kilicho kufanya ushuke ni kubadilika kwa soko na uhitaji(demand) kwa kasi sna,kiasi cha kushindwa kujinasua,kwa kua pesa yote ilikua ktk mzigo ambao ndio huo hauhitajiki sokoni kwa wkt huo.

basi jithid na uangalie km bado unajiamini kuendeleza harakti za biashara uamke,usitumie mda mwingi kufikiria yale yamepita,anza upya tumia kibanda chako kilichobaki kujipatia mkopo tena,ila usichukue mkopo mkubwa na uanze taratibu ili ikibuma tena usiumiiie kulipa.

anza trtb na kwa uzoefu ulionao nakuhakikishia utarudi tena juu,tena ukirudi usiwe na mradi mmoja ili kupunguza risk.
 
Pole sana chief,

Pia ulimwengu wa biashara unahitaji umakini na ubunifu sana ili kwenda na wakati.

Poa vyema kuwa na biashara mbadala hata mbili incase ilitokea moja kuyumba basi nyingine inasimamia shoo vilivyo kufidia kuyumba kwa biashara nyingine.

Miaka 26 ya uzoefu ktk biashara naamini waweza amka tena
Ila yaonekana haukuwa na mausiano mazuri na watu wengine.

Ni vyema saidia wengine kama umefanikiwa ikitokea umepata msukosuko unaowatu uliowajenga ambao wanaweza kukushika mkono.

Mafanikio hayakumbatiwi pekee bali huwa yanagawanywa kwa wengine maana hii dunia imeajaa majanga tusiyoyatarajia.

displayname
Ndg yangu, ukiwa na hela, ukienda kwa mtu mnafanya nae kazi ukamwambia, " naomba milioni mbili nina dharura kidogo" anavuta droo anatazamaaaa anakwambia, " njoo baada ya nusu saa hivi"
Ukirudi, anakupa fedha ikiwa imeshafungwa kwenye bahasha, ila wakiishaona mwelekeo wa biashara yako siyo mzuri, ukiomba hela unaulizwa," utanirudishia lini?"
Kisha unapewa ahadi, ukirudi unasmbiwa, "dah aisee kuna jamaa nilichukua hela yake, ameshanipigia simu mara mbili" naona imeshindikana, jarbu njia nyingine!

"Mahusiano yana mikondo"
 
Back
Top Bottom