Ufanisi MTU anajifunzia kazini,ila hawa wenye fake vyeti wengi wao ni maboss na huwa hawapendi vijina tujifunze kazini ili tuwe tunaufanisi,mfano akisikia semina,workshop training,n.k zenye kutoa mafunzi kazini,boss ataenda wakati yeye alishapata mafunzo mengi km hayo mpaka amekuwa boss hii ni...