Nimekatwa 12, 000 kwenye mshahara

Nimekatwa 12, 000 kwenye mshahara

Sasa kama mwalim mzima,unashindwa kujua kwanini unakatwa.Hao wanafunzi assignments mnazowapa inakuwaje kweli.
Kwenye slip si inaonyesha?maana makato yoyote kweye salary lazima yaonyeshe ni makato ya nini.
Fuailia,acha kulalamika Mwalim unaenitia mashaka na taaluma.
Nadhan wewe si mtumish wa umma ndio maana hujui hata unacho ongea ,muwe mnafanya tafiti kwanza kabla ya kujifanya wajuaji, salary slip za watumish wa umma kwa hii serikali yetu huwa zinatoka miezi minne hadi mitano wakati mwingine baada ya mshahara kutoka ,sasa hiyo salary slip unayo mshauri mwenzetu sijui ni ya mwezi wa ngapi maana kwa maelezo yake hayo makato kakatwa mshahara huu wa mwezi wa tisa,kama hujui jambo usijifanye kujua na kukejeli kwa maana wewe ndio utaonekana zero.
 
Kiongozi hilo ni tairi lililoisha upepo ujuaji mwingi akili kizibo msamehe tu.
 
Kiukwel nimesikitika sana baada ya kukuta mshahara wangu umepungua ukizingatia sisi walimu mishahara midogo makato mengi jumlisha mikopo yaani ni shida tupu. Hacha tuisome namba
Yawezekana unadaiwa ama ni michango ya mwenge na madawati
 
Sasa kama mwalim mzima,unashindwa kujua kwanini unakatwa.Hao wanafunzi assignments mnazowapa inakuwaje kweli.
Kwenye slip si inaonyesha?maana makato yoyote kweye salary lazima yaonyeshe ni makato ya nini.
Fuailia,acha kulalamika Mwalim unaenitia mashaka na taaluma.
Boss, slips za mshahara huwa zinatufikia miez miwili au mi3 baadae, kwa mfano mpk sasa halmashauri nyingi hatujapata slips za mwezi wa 6!!! Kwahyo ni vigum kwa mwalimu hucka kujua hiyo pesa alokatwa ni ya nini!!!
 
Hata waalimu na nyie mmekatwa? Ama kweli.
 
Nyie waalimu si ndiyo mawakala wa ccm kwenye uchaguzi?
Mukatwe tu mana hamna namna ni kukatwa tu.
 
Pole Sana ndugu,naona hawa hazina wanafanya makosa madogomadogo ambayo yanaathiri sana watumishi, nakumbuka mshahara wangu WA mwezi wa7 nilikuta wamenikata tsh 57000/= nikaenda Kwa afisa utumishi nihakikishe mambo yaliyotokea,kukuta kuna kitu kinaitwa Imolment advance (Makato unayokatwa na mwajiri wako) basi nikaandika barua ya kusitisha na mshahara wa mwezi WA 8 nikakuta makato yangu yamerudishwa, pole naomba ufuatilie pia
 
Pole sana Mtumishi
 
Attachments

  • tmp-cam-1610841122.jpg
    tmp-cam-1610841122.jpg
    9.5 KB · Views: 37
Sasa kama mwalim mzima,unashindwa kujua kwanini unakatwa.Hao wanafunzi assignments mnazowapa inakuwaje kweli.
Kwenye slip si inaonyesha?maana makato yoyote kweye salary lazima yaonyeshe ni makato ya nini.
Fuailia,acha kulalamika Mwalim unaenitia mashaka na taaluma.
Slip ni baada ya miezi 3 mara nyingine unaweza usipate kabisa
 
Hata my wife wangu kakatwa...nafkiria nimpe mtaji auze tu samaki maana walimu hawapewi uthamani hii nchi,badala ya increment wanakuta decrement??!? Baba Lowassa alisema angeanza na walimu,elimu mpaka chuo burree!! Asee nimeona ukame/dhiki kuu;
- Kupanda madaraja walimu hamjapanda
- Pesa ya likizo ya mwezi wa sita hadi leo holaa na ikitoka ni kiduchu.
- Walimu wanapanda madaraja baada ya miaka 4 mpaka 5,badala ya 3.
- Elimu bure mitihani inaandikwa ubaoni badala ya kuchapishwa.
- Elimu bure walimu hawapati hata chai yamkono 1 mpaka saa tisa labda wajibebee.
- walimu wa sayansi wanakatwa pesa nyingi zaidi na bodi ya mikopo kwakuwa kozi za sayansi ni Ghali na bodi iliwakopesha 100%. Kamshahara kanabaki kiduchu na kazi/vipindi nivingi bora wangechange fani.
Namengine meeengi nachoka hata kuandika. Ivi nchi gani iliendelea Tena kiviwanda bila kuwekeza vema na kuiboresha Elimu?? Natamani serikali sikivu!!
Mkuu kwa mtizamo wangu... walimu wasingekatwa mkopo maana najua kwa mshahara wao itakuwa majanga.... na Tz
inawahitaji walimu zaidi na zaidi. ... JPM plz walimu waondoe kwenye makato ya mikopo ya
bodi....
 
Kiukwel nimesikitika sana baada ya kukuta mshahara wangu umepungua ukizingatia sisi walimu mishahara midogo makato mengi jumlisha mikopo yaani ni shida tupu. Hacha tuisome namba
Mchango wa maafa bukoba huo
 
Back
Top Bottom