Natafuta kazi ya kujitolea GIS and LAND SURVEYING

kuyela

Member
Aug 28, 2013
5
2
natafuta nafasi ya kujitolea nina ujuzi wa GIS na Surveying napatkana dar kama kuna mtu atakuwa na taarifa yyte kuhusu hili naomba unicheck PM npo serous jamani msaada
 
Una elimu gani mkuu Bsc, Msc, au PHD (Rs&Gis)...unaweza kukusanya data na kufanya analysis ya earthquake, Flood, security, nk,,, kwa kutumia RS&GIS software kama ArcMap, ArcGis, ERDAS Imagine, Grass Gis, MGE GIS..
 
nina Bsc hivyo vyote naweza kufanya bila wasiwas
 
Una elimu gani mkuu Bsc, Msc, au PHD (Rs&Gis)...unaweza kukusanya data na kufanya analysis ya earthquake, Flood, security, nk,,, kwa kutumia RS&GIS software kama ArcMap, ArcGis, ERDAS Imagine, Grass Gis, MGE GIS..

Nawewe nakuuliza vipi ndio interview imeanza au ndio mmeamua kumvuruga dogo tu
 
Sasa haya maswali mnayomuuliza ndio mnamfanyia interview tayari au basi tu mnaamua kuonyesha uelewa wenu kwenye hayo mambo?
Ametafuta ajira hapa. Acha ajiuze hapa hapa. Mimi nina shida ya mtu wa aina hiyo. Anaweza akapata wahitaji wengi hapa vile vile. Tutahamia PM kuelewana terms tu.
 
Inaonekana uko vizuri! Vipi Groundwater exploration na underground mining unaweza kufanya mapping mkuu?
 
Ametafuta ajira hapa. Acha ajiuze hapa hapa. Mimi nina shida ya mtu wa aina hiyo. Anaweza akapata wahitaji wengi hapa vile vile. Tutahamia PM kuelewana terms tu.
upo sahihi. si anaweza pima viwanja na mashamba
 
Hizo zingine zinaweza zikawa ofisi training maana software huwa zina change kutoka nyakati,Hayo ArcMap,ArcGIS and e.t.c,zipo most currently softwares za drawings kulingana na Themes unayohitaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom