Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Mtu atakae taka nimtibie ndio ninaye mpa ushahidi kuwa nimemtibia nani na hata namba ya simu ya huyo niliye mtibia nitampa sio kila mtu nimpe namba ya huyo niliye mtibia. Amesha choka kupigiwa simu alikuwa anapigiwa simu kwa siku zaidi ya mara 50 ameshaniambia amechoka na simu nyingi na maswali kibao kuhusu kupona kwake mgonjwa wangu wa Maradhi ya Ukimwi.Wewe mzizimkavu funguka,siyo kutoa mawasiliano tu,evidence ni sahihi zaidi hata kama MTU anakutafuta ni uhakika.
kama huamini tibia ugonjwa husika then lishe ya nguvu...ondoa stress kuwa nina ngoma hivyo Mimi ni marehemu mtarajiwa...sema walahi hafi Mtu..utakuja utasema tawire 