Recent content by pincode

  1. pincode

    Msaada wa namna ya kuondoa virus kwenye external hard disc.

    unaweza kuamua kati ya haya: 1. Ingiza external hd kwenye computer inayotumia Operating system tofauti na windows maana yake ingiza kwenye Ubuntu,linux au mac os 2. Format hiyo drive halafu recover data Chaguo la pili ni gumu na linachukua muda zaidi
  2. pincode

    Kusafisha kwangu KIWI CHA MACHO kukaniponza Mwanajeshi akanikata mtama…!

    kama ni kufurahi nimefurahi MTAMBUZI kila mahali ni kituko...........
  3. pincode

    First class chuo ni za ma TO tu-wenye historia

    namaanisha proffesor wa dit,ni jamaa alieheshimika kwa mambo makubwa alopiga alipokuwa shule lakin sasa hana mbele wala nyuma
  4. pincode

    Mbona Majanga

    Zilimteleza kwa bahati mbaya
  5. pincode

    Wanawake wenye sura hii, huringia sana maumbile yao...!

    Hata hivyo naona ana umbo, mtambuzi kwa hiyo ni kasilaha kazuri kujihami
  6. pincode

    Wanaume ni dhaifu na hawajiamini mbele ya wanawake...!

    siri imefichuka mtambuzi"NYUMBA HAZITAKALIKA HAPA"
  7. pincode

    So lonely,help please

    if you mean u need some one to be with, there will be a full queue, and assume what in the end you ll still be having dat empty hole of loneliness, simply see what you need and what you want, in btw you ll nvr be lonely and ofcoz dc happenz do what you like and rest sometymz jus stressez da...
  8. pincode

    Je! hawa mnaowaharibu sasa hivi, nani atawaoa?

    hawa wa sasa hivi walishaharibika toka walikotoka wala hawaanzi kuharibiwa sasa jus do ur research brother:confused3:
  9. pincode

    Mwanamke hebu funguka uko upande upi...?

    kuna mengi saana katika ndoa,taasisi ya ndoa imechukuliwa kama ni kitu kidogo saana, vijana sasa hawajifunzi ni nini hasa maana ya kuwa na mme/mke, majukumu yao n.k lakini tuangalie ni nini hasa chanzo,kama nakumbuka vizuri MTAMBUZI uliiongelea kijiwe cha SALOON za kike kuwa moja kati ya vitu...
  10. pincode

    Je mlikuwa mnayajua haya…?

    mheshimiwa mtambuzi naona ni ukweli mtupu nilikuwa najua vichache
  11. pincode

    Baada ya beef zito na Clouds FM: Lady Jaydee kuanzisha Radio yake

    sidhani kama kila mtu aliyetoka kimuziki ana mkono wa huyu jamaa,prof jize na fid q na nature wote kawatoa yeye kweli??msitake kusema yeye ndo anaamua nani ashine kwa kipi labda
  12. pincode

    Hussein Tuwa vs Eric Shigongo (Riwaya)

    KAKA mbona exageration nyingi sana,tuwa ni mwandishi mzuri ila kuna kitabu kama mdunguaji ukiitafuta movie ya sniper reloaded sijui nani kamuibia mwenzake
  13. pincode

    Hussein Tuwa vs Eric Shigongo (Riwaya)

    unawezakutoa mfano halisi??
Back
Top Bottom