Wanaume ni dhaifu na hawajiamini mbele ya wanawake...!

kama mentality za wanawake wengi wa kibongo ni kwamba A MAN MUST PROVIDE FOR HER NO MATTER WHAT,sasa mwanaume ataweza vipi kutoka na demu aliemzidizidi kipato[achilia mbali elimu]??lazima atafute aliemzidi ili niweze kuprovide kwa kiwango chake/changu.....mimi binafsi sijali kipato wala elimu nishadate walionizidi kipato na nawahandle kama kawaida tu,maybe because im too confident to the extent u can think im arrogant
Bongo ipi hii? Labda ya kusadikika
 
hivi Paloma, mi nafanania ivo?

hehehe sema ndo ivo wanaume wengine ambao hawajaenda shule vizuri wanakuwa wanaogopa, kuna conflicting issues.. ego ya uanaume na deep down the reality kwamba hana elimu au kipato sawa na mpenziwe wa KIKE (sipendi ukameruni mimi)
On the other hand due to historical reasons, wanawake wanaojikuta juu kiuchumi/kielimu wanakuwa wanacompensate miaka maelfu ya babe wa wanaume na hivyo nao wanaona wamepata nafasi ya kuwakandamiza wanaume 'wanyonge' kwao,,,,think of the oppressor and the oppressed, always ijapokuwa the oppressed anaona kuwa ni vibaya kuwa oppressed, siku akipata nafasi ya kuwa oppressor naye anamwoppress atakayekutana naye liwalo na liwe.......
so ni he same thing hapa

Ila sasa kwa wanaume ambao wanawajulia kama mimi hapa wala hawatupi shida...uanaume wetu unakuwa pale pale na wao wanaendelea kuwa wanawake bila kujali kipato/elimu cos we UNDERSTAND these differences.......na kuziappreciate...

kwa Mtambuzi sijui amesema baadhi ya wanaume au wote? Eti Fixed Point, shemeji yangu kipenzi na rafiki yangu....

CC Asprin KakaKiiza kiwatengu Filipo Arushaone Baba V
Hommie, aka homuboi wangu....

Baada ya kusema hayo, hebu niambie hii makitu uliyoandika hapa tuyaweke kwenye rasimu ya katiba yetu au tusubiri yawe oppressed na jaji mstaafu warioba?

Mimi bana mimi, huwa nakasirikaga sana.

Nisalimie Kaunga, King'asti, snowhite, cacico na Kongosho. Waambie niko bize kwenye mabarza ya kata mpaka kieleweke.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo umeongea sana harafu vitu vingi vimejirudiarudia shortly hauko vizuri ktk uandishi na hoja husika, jipange bhana

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Nionavyo mimi si mwanamke au mwanaume anayejiamini. Wote hawajiamini na hawajakamilika na Mungu aliliona hilo akawaumba pamoja ili watengeneze huo ukamilifu. Hivyo mwanaume bila mwanamke hawezi kujiamini na mwanamke bila mwanaume hawezi kujiamini. Wote tunategemeana na kukamilishana. Ukisema mwanaume hajiamini mbona kila siku wadada wanapigana waolewe na ukisema wanawake hawajiamini mbona wakaka kila siku kujitutumua ili ampate mdada fulani kwa gharama yoyote? Wote tuna mapungufu fulani
unapozungumzia ukamilifu naamini unamanisha mambo mengine zaidi ya kujiaamini.....sidhani kama mwanamke au mwanamme anahitaji upande wa pili ili ajiiamini...kujiamini kwa mtu kunatokana na makuzi,malezi,tamaduni na asili tu...women need men because there are biological needs which she cant get from another woman , can only be given by man...and man likewise has some needs which can only be provided by a woman....kwa sehemu kubwa mapungufu yaliyo mengi ya kisaikolojia ni ya kihistoria ...yanatokana na tamaduni-culture....biologically( by nature) women feel secure in the presence of a man...but not the other way around. however am not certain that women do feel more confident when Her man is around or when she has a man...women can sustain to live alone much longer after separation but men cant replicate ...Kuhusu ujasiri kuna hadithi za maeneo mengi tu zinaonyesha kuwa wanawake ni jasiri kuliko wanaume......hadithi za vijiji magharibi mwa Tanzania ambapo kulikuwa na historia ya nyoka wakali( ngoboko) zinaonyesha kuwa wanawake ndi walikuwa wanatumwa kubeba ndoo zenye uji mzito wakipita pembeni ya miti mirefu ya miembe ambako kuna ngoboko wenye hasira ambao hurukia na kuungua kwenye hizo ndoo,wanaume wakikaa mbali kabisa....kuna makabila kwenye unyago huwa wanafundishwa kuwa mwanaume hata awe na mabega au umri kiasi gani ni dhaifu tu kwa mwanamke...hana lolote ,wanafundishwa jinsi ya kumtuliza....ndio maana unakuta binti akitoka jando hata haogopi tena mwanaume...ashapewa mbinu za kukabiliana naye kisaikolojia...some girls they attain confidence so early due to early sexual debut...
 
hivi Paloma, mi nafanania ivo?

hehehe sema ndo ivo wanaume wengine ambao hawajaenda shule vizuri wanakuwa wanaogopa, kuna conflicting issues.. ego ya uanaume na deep down the reality kwamba hana elimu au kipato sawa na mpenziwe wa KIKE (sipendi ukameruni mimi)
On the other hand due to historical reasons, wanawake wanaojikuta juu kiuchumi/kielimu wanakuwa wanacompensate miaka maelfu ya babe wa wanaume na hivyo nao wanaona wamepata nafasi ya kuwakandamiza wanaume 'wanyonge' kwao,,,,think of the oppressor and the oppressed, always ijapokuwa the oppressed anaona kuwa ni vibaya kuwa oppressed, siku akipata nafasi ya kuwa oppressor naye anamwoppress atakayekutana naye liwalo na liwe.......
so ni he same thing hapa

Ila sasa kwa wanaume ambao wanawajulia kama mimi hapa wala hawatupi shida...uanaume wetu unakuwa pale pale na wao wanaendelea kuwa wanawake bila kujali kipato/elimu cos we UNDERSTAND these differences.......na kuziappreciate...

kwa Mtambuzi sijui amesema baadhi ya wanaume au wote? Eti Fixed Point, shemeji yangu kipenzi na rafiki yangu....

CC Asprin KakaKiiza kiwatengu Filipo Arushaone Baba V

kaka hata mimi siwezi kumwogopa mwanamke kwa kipato chake..
Labda tu heshima mbele na siyo uoga..
Nimezaliwa sina uogas hata chembe in all aspect of life!!
 
wengine huwaogopi lakini kwangu ni tofauti nikitokeza tu wakuwa mpole utadhani umemwagiwa na maji
unajua sababu gani "i'm strong woman" hebu ona hapa unachotaka kwanguView attachment 102629

hahahahaaaaaaa my broda Mentor..........mhh nimesahau nilichokuw anataka kusema....aargh nakasirika mie!
 
Last edited by a moderator:
alafu bana wewe utankoseshaga mke...!! si nkasusiwa..kuja kuambiwa sababu ni wewe!!!

haaaaa............yamekuwa hayo?!?! lakini aliyesema "my gelfrend" ni nani???
umekataliwa unakuja nisingizia mie!!! ACHA UDHAIFU!

embu ning'ate sikio...ni ledishangilia au? (hahahhaahha)
 
wadada wenye pesa zao ndo kabisaaaa, kila siku majanga, wakaka hawana guts za kuwatokea na kuishi nao kwa commitment, labda kwa siku kadhaa na kuchuna pesa zao, wanahisi watanyanyaswa....... huku ni kutokujiamini kwa high degree.....

Ndugu yangu Fixed Point talking of wadada wenye mkwanja mrefu "kuogopwa" na wanaume hii inatokana na malezi/makuzi au tamaduni zetu za kiafrika, jambo kama hili huwezi kuliona ama kulisikia kwa wenzetu hasa wazungu.

Kwahiyo hili jambo ukitaka kulielewa vizuri zaidi unatakiwa kuliangalia katika dimensio hiyo badala ya kusema tu kwamba hatujiamini kuwatokeo wanawke wenye mkwanja. Kiafrika afrika mwanaume ndiye anatakiwa kugharimia mahitaji yote ya familia yake/mke wake/rafiki yake wa kike. Sasa katika hali ya kawaida basi kila mwanaume angetaka kuonekana yeye ndiye anagharimia mahitaji ya wategemezi wake au mwenzi wake. Sasa ikitokea mwanamke ana mkwanja mrefu basi mwanaume anajihisi kuwa ameporwa mamlaka yake, anajihisi ameporwa haki yake ya kuwa msimamizi wa familia.

Na bahati mbaya pia usisahau kuwa wanawake wengi wenye mkwanja mrefu nao ni matatizo makubwa kwa wanaume na hapo ndipo tatizo la msingi lilipo. Huenda nao wanahitaji kujifunza kwa wazungu ni namna gani wanaweza kumanage mahusiano na waume zao/marafiki zao wa kiume wenye vipato vidogo kuliko wao.

Kuna rafiki yangu wa karibu sana aliwahi kuwa na relation na mwanamke mwenye shahada ya kwanza wakati yeye akiwa na FTC na walikuwa wanakwenda vizuri tu almost miaka minne hivi lakini mara tu yule mwanamke alipohitimu shahada ya pili wakashindwana kabisa baada ya mwanamke kubadilika na kutoonyesha kumheshimu tena mshikaji na hakutaka aulizwe chochote na bf wake na jamaa yangu hakutaka kunyanyasika kwasababu ya elimu yake hivyo uhusiano ule ukavunjika. Katika relationship kunakuwa na tabia ya "possession", mwanaume anataka kum-possess mwanamke na mwanamke anataka kum-posses mwanaume. Sasa hapa ndipo palipomshinda bibie na shahada zake mbili hakutaka aonekane yuko chini ya himaya ya kijana wa FTC!!!

Kwahiyo kwa ujumla suala hili linachagizwa zaidi na mila na tamaduni zetu waafrika kuliko kitu kingine chochote na hili linawahusu watu wote wanaume na wanawake.
 
ndugu yangu Son of Gamba umepotoka kabisa ndugu yangu hivyo vigezo ulivyoweka haviendani na mada inayozungumiziwa hapa kwani nani amekwambia maumbile ndo yanafanya kuwa wewe si dhaifu, mtoa mada amefanya ufumbuzi na utafiti ndo mana ametoa post hiyo hajakurupuka to from no way akaandika hapo kuwa makini, mdadisi, na mfumbuizi utaelewa kuwa nyie wanaume ni wadhaifu kwetu hiyo ni true kwa 100% utake usitake iko hivyo. Are you together hapo?
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Fixed Point talking of wadada wenye mkwanja mrefu "kuogopwa" na wanaume hii inatokana na malezi/makuzi au tamaduni zetu za kiafrika, jambo kama hili huwezi kuliona ama kulisikia kwa wenzetu hasa wazungu.

Kwahiyo hili jambo ukitaka kulielewa vizuri zaidi unatakiwa kuliangalia katika dimensio hiyo badala ya kusema tu kwamba hatujiamini kuwatokeo wanawke wenye mkwanja. Kiafrika afrika mwanaume ndiye anatakiwa kugharimia mahitaji yote ya familia yake/mke wake/rafiki yake wa kike. Sasa katika hali ya kawaida basi kila mwanaume angetaka kuonekana yeye ndiye anagharimia mahitaji ya wategemezi wake au mwenzi wake. Sasa ikitokea mwanamke ana mkwanja mrefu basi mwanaume anajihisi kuwa ameporwa mamlaka yake, anajihisi ameporwa haki yake ya kuwa msimamizi wa familia.

Na bahati mbaya pia usisahau kuwa wanawake wengi wenye mkwanja mrefu nao ni matatizo makubwa kwa wanaume na hapo ndipo tatizo la msingi lilipo. Huenda nao wanahitaji kujifunza kwa wazungu ni namna gani wanaweza kumanage mahusiano na waume zao/marafiki zao wa kiume wenye vipato vidogo kuliko wao.

Kuna rafiki yangu wa karibu sana aliwahi kuwa na relation na mwanamke mwenye shahada ya kwanza wakati yeye akiwa na FTC na walikuwa wanakwenda vizuri tu almost miaka minne hivi lakini mara tu yule mwanamke alipohitimu shahada ya pili wakashindwana kabisa baada ya mwanamke kubadilika na kutoonyesha kumheshimu tena mshikaji na hakutaka aulizwe chochote na bf wake na jamaa yangu hakutaka kunyanyasika kwasababu ya elimu yake hivyo uhusiano ule ukavunjika. Katika relationship kunakuwa na tabia ya "possession", mwanaume anataka kum-possess mwanamke na mwanamke anataka kum-posses mwanaume. Sasa hapa ndipo palipomshinda bibie na shahada zake mbili hakutaka aonekane yuko chini ya himaya ya kijana wa FTC!!!

Kwahiyo kwa ujumla suala hili linachagizwa zaidi na mila na tamaduni zetu waafrika kuliko kitu kingine chochote na hili linawahusu watu wote wanaume na wanawake.
shem wangu kwa mdogo wangu mwaJ umefafanua vizuri sana.
kuna baadhi ya wadada wanaanza kuota mapembe wanapoona wamewapita wakaka wao kwa namna yoyote ile. Ila usisahau pia kuna wakaka ambao wanajishtukia wanapokuwa na wadada ambao wamewapita. huyu kaka anakuwa hajiamini kwa kiasi fulani..... mdada chochote atakachokifanya huyu kaka anaona mdada kafanya hivyo sababu anajiona yupo juu.
nina rafiki yangu ambaye nyumbani kwao wana uwezo sana, wamemsomesha vizuri na ana kazi nzuri sana, mshahara mzuri. kaolewa na mkaka ambaye yupo kawaida tu. nakuambia sijawahi ona mke bora kama huyo rafiki yangu. anafanya kila kitu kwa ajili ya familia, yet mumewe anamsumbua sanaaaaa. kuna wakati mdada anatakiwa kukaa ofisini mpaka late hours..... mara 2 ameshalala kwangu sababu mumewe kakataa kumfungulia mlango usiku akiwa anatoka job, can you imagine? nyumba yake, hela za kuendesha nyumba zake, na hiyo kazi ndo inawafanya wawe na hayo maisha lakini mume anamfukuza mkewe usiku, aende wapi?
Mdada anasema anampenda sana mumewe, pia anapenda watoto wakue wakiwa na wazazi wote.... anatoa sadaka happiness yake sababu ya familia. huyu mume utamweka kwenye kundi gani? simple, kutokujiamini.... hakuna cha malezi wala mila hapa
 
Last edited by a moderator:
halafu nyie mtu na kaka yake haya ...................... !? angalieni
yangu macho tu hapa sisemi kitu wala sitiii chumvi nyingi katika pishi dogo
haaaaa............yamekuwa hayo?!?! lakini aliyesema "my gelfrend" ni nani???
umekataliwa unakuja nisingizia mie!!! ACHA UDHAIFU!

embu ning'ate sikio...ni ledishangilia au? (hahahhaahha)
 
shem wangu kwa mdogo wangu mwaJ umefafanua vizuri sana.
kuna baadhi ya wadada wanaanza kuota mapembe wanapoona wamewapita wakaka wao kwa namna yoyote ile. Ila usisahau pia kuna wakaka ambao wanajishtukia wanapokuwa na wadada ambao wamewapita. huyu kaka anakuwa hajiamini kwa kiasi fulani..... mdada chochote atakachokifanya huyu kaka anaona mdada kafanya hivyo sababu anajiona yupo juu.
nina rafiki yangu ambaye nyumbani kwao wana uwezo sana, wamemsomesha vizuri na ana kazi nzuri sana, mshahara mzuri. kaolewa na mkaka ambaye yupo kawaida tu. nakuambia sijawahi ona mke bora kama huyo rafiki yangu. anafanya kila kitu kwa ajili ya familia, yet mumewe anamsumbua sanaaaaa. kuna wakati mdada anatakiwa kukaa ofisini mpaka late hours..... mara 2 ameshalala kwangu sababu mumewe kakataa kumfungulia mlango usiku akiwa anatoka job, can you imagine? nyumba yake, hela za kuendesha nyumba zake, na hiyo kazi ndo inawafanya wawe na hayo maisha lakini mume anamfukuza mkewe usiku, aende wapi?
Mdada anasema anampenda sana mumewe, pia anapenda watoto wakue wakiwa na wazazi wote.... anatoa sadaka happiness yake sababu ya familia. huyu mume utamweka kwenye kundi gani? simple, kutokujiamini.... hakuna cha malezi wala mila hapa

Umeona eeeh Fixed Point
 
Last edited by a moderator:
haaaaa............yamekuwa hayo?!?! lakini aliyesema "my gelfrend" ni nani???
umekataliwa unakuja nisingizia mie!!! ACHA UDHAIFU!

embu ning'ate sikio...ni ledishangilia au? (hahahhaahha)

Siez kataliwa...ni zile zenu za, 'Lakini wewe si uko na Paloma' ilhali pichu ishashushwa..SMH
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom